maji

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

    Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
  2. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hadhari: Baadhi ya Barabara Morogoro zimefurika maji

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimezidi kuleta athari kubwa kwa wananchi, uchumi na miundombinu. Mamlaka ya hali ya hewa imetangaza uwepo wa mvua mikoa ya Morogoro Iringa, Ruvuma, Songwe, Mbeya na Njombe nk, hivyo kama raia wema ni vyema kupeana taarifa barabara korofi ambazo zimekumbwa na...
  3. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

    Habari Wakuu ningefurahi Kama nitapata mchanganuo was biashara hizi mbili. 👉Kuanzia Gharama za uanzishaji, utekelezaji wa viwanda hivi. Najua vyote ni Bora, ila utofauti lazima uwepo?l!!. 👉Kwa maeneo Kama mwanza au shinyanga ita faa zaidi???. 02, una mshauri mtu kipi Bora?
  4. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kina cha maji tia mguu kwanza Israel walikutana na kitu kizito haswa

    The majority of the hundreds of kilometres of tunnels dug under #Gaza by Hamas remain untouched and difficult to access for the #Israeli military.⁠ .⁠ As the war on Gaza nears the end of its fourth month, the Israeli military has managed to damage or render inoperable an estimated 20-40 percent...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji wa Milioni 550 Watekelezwa Usinge Jimbo la Kaliua

    "Kaka yangu Aloyce Kwezi amekuwa akinielekeza tatizo la maji hapa Usinge. Sasa Kwezi asipoongea itakuwaje. Mnatakiwa kumshukuru na kumpongeza sana, Mbunge wenu ni katika wabunge walio makini sana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehakikisha amesemea Usinge mpate mradi wa maji"...
  6. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Ardhi na adha ya maji

    Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume. Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza. Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko ya watendaji maji Rufiji, amuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi Utete

    AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI, AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo bwana Christopher Mwigune akiwa wilayani...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aelekeza mkandarasi eneo la chanzo cha maji Ruangwa kuripoti kazini, aridhishwa na ujenzi wa tenki

    AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao. Aidha...
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, ni ipi sababu ya DAWASA ya kukosekana kwa maji?

    Ndugu zangu, Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini? Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
  10. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  11. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza jaman wana sheria" hivi ni kosa kwa mmiliki wa carwash kuwauzia maji wananchi wenye uhitaji?

    Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii, Kwa kipindi ambacho nimeanzisha hapakuwa na shughuli yeyote ila sasa kutokana na kuendelea kwa lile eneo ndio ikapelekea uwepo...
  12. X men

    JamiiForums Tanzania Maji ya Mvua meusi

    Wilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni. Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wavamia maeneo ya Maji, Mgomo wa Maji waendelea na maji kuendelea kwenye mkondo wake

    Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani. Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na...
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

    Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes) Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili Kulikuwa na ziwa Tandale😅 Ziwa Mwananyamala😂 Ziwa Magomeni😅 Mto Sinza😅 Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tanga: Serikali kutumia Tsh Bilioni 3 kutoa maji yanayotoka Mto Zigi hadi Muheza

    📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
  16. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
  17. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kilasilo Guest House inauzwa

    KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC: MADALE MWISHO Bei 135M (Maongezi Yapo) Mawasiliano 0748 270 719
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vigogo wanachepusha maji yasiingie Mtera

    Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli? Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na Muarobaini wa Eneno la Mtanana Kujaa Maji

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuwasimamia wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika eneo Mtanana katika barabara kuu ya...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Losaa-Kia water supply maji ni machafu, ukichota bombani yanatoka na udongo

    Naomba kutoa malalamiko juu ya jambo hili kwani sisi watumiaji wa maji yanayosambazwa nanyi hatuna uhakika wa usalama kwa afya zetu kwani maji ni machafu sana. Ukichota bombani yanatoka na udongo
Back
Top Bottom