Kunywa maji kidogo sana kabla ya kula kulainisha tu koo,halafu kula chakula hadi kipimo chako halafu shushia kwa maji kidogo kama ½ glasi hivi.Chakula kikishamengenywa lazima utahisi kiu hapo sasa ndo unywe maji ya kutosha.
Sundii kiafya inatakiwa kunywa maji walau dakika 45 kabla ya kula chakula au kunywa maji dakika 45 baada ya kula chakula.
Unapokunywa maji wakati mmoja na chakula au dakika chache sana baada au kabla ya kula unaharibu virutubisho vya chakula ulichokula. Formula ya kula matunda ni hii hii kama ya maji.
Weka interval ya muda kwa kila aina moja ya kitu unachoingiza tumboni ili kilete faida kwenye mwili wako. Maana yake, chakula kipishane muda na maji au matunda, Matunda yapishane muda na chakula au maji, Maji yapishane muda na chakula au maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.