Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,057
8,726
Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini.

Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri.

Tazama tukio Zima la majibizano na na vikosi vya Iran
 
Mwanzo wa mwisho wa us kuikalia mashariki ya kati umeanza
Nandio maana anaikingia sana kifua israhell maana anajua ikianguka israhell pale nayeye ndio kwisha kazi yake
Ngoja waje

Iran anampa tabu sana USA, Iran kwani ndio anafadhili serikali ya Yemen kupitia Houthi na Iran pekee ndio anaetoa silaha kwa HAMAS,Quds na Hizbullah.

Iran anatengeneza proxy tu na kuzifund na Iran haiogopi tena USA.

USA nafikiri anajua uwezo mkubwa ambao Iran anao kivita na kisilaha ameshindwa kuifanyia mashambulizi.

Iran ndio aliwapa Urusi drones zake za Shahad na kusaidia kuset the best drone center kwa ajili ya vita huko Ukraine,ikamuongezea ufanisi Urusi na vita anashinda. NATO na USA wakaufyata japo mwanzo walilaani na kumpiga mkwara Iran kwa kutoa msaada Urusi
 
Waisrael wa Bonyokwa si wanasema Yemen masikini miili imejikondea wanapigwa siku moja tu.

😂😂😂😂😂

Labda hawajui kua kwa miaka kadhaa Yemen imepigana vita na Mataifa matatu (Saidia,Emirate na USA akiwa kama kocha wao) huku Yemen akisaidiwa na Iran tu na hatimae wameshinda Houthi na kuitoa madarakani serikali kibaraka ya USA na Saudia.

Vita ya Yemen na hao mabwana wakubwa imeisha baada ya Saudia kuomba poo kwani Yemen alianza kupiga ndani ya Saudia na kushambulia visima vya mafuta na matanki ya hifadhi.

Just imagine Yemen kaamua kufunga njia ya bahari ya meli, Israel na USA wamebaki wanatumbua macho tu
 
Iran anampa tabu sana Iran kwani ndio afadhili serikali ya Yemen kupitia Houthi na Iran pekee ndio anaetoa silaha kwa HAMAS,Quds na Hizbullah.

Iran anatengeneza proxy tu na kuzifund na Iran haiogopi tena USA.

USA nafikiri anajua uwezo mkubwa ambao Iran anao kivita na kisilaha ameshindwa kuifanyia mashambulizi.

Iran ndio aliwapa Urusi drones zake za Shahad na kusaidia kuset the best drone center kwa ajili ya vita huko Ukraine,ikamuongezea ufanisi Urusi na vita anashinda. NATO na USA wakaufyata japo mwanzo walilaani na kumpiga mkwara Iran kwa kutoa msaada Urusi
Iran waliishachelewa
Iran kuzuilika tena pale west hasa us ajitoe muhanga kwel kwel
Kuitwanga iran hasa kwa marekani nikuifungulia njia rasmi uchina ikakae pale juu bila kutumia nguvu kubwa
Us na shost zake walipiga hesabu vibaya kwa sadam badala yake walitakiwa wamtwange kwanza Iran ila walijifanzaje sijui
Ila Mungu awajaalie utulivu na ukakamavu walionao uongezeke na kudumu mara dufu
 
Iran amekua karibu na Urusi, China na North Korea,Iran hagusiki tena kwani binafsi anazo silaha za kutosha na zenye uwezo mkubwa sana. Naamini hata nyuklia tayari anazo maana vinu anavyo kitambo,aliwekewa vikwazo tu vya kuunda bomu. Je miaka yote hajatengeneza?!!
 
Hata mie naamini anazo
 
Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini.

Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri.

Tazama tukio Zima la majibizano na na vikosi vya Iran
View attachment 2843637
Safi kimbiza hao wanawake
IMG_20231122_000103.jpg
 
Iran amekua karibu na Urusi, China na North Korea,Iran hagusiki tena kwani binafsi anazo silaha za kutosha na zenye uwezo mkubwa sana. Naamini hata nyuklia tayari anazo maana vinu anavyo kitambo,aliwekewa vikwazo tu vya kuunda bomu. Je miaka yote hajatengeneza?!!
Hiki ndo kinachomnyima Netanyahu amani akiambiwa hata achagua kumweka mke wake rehan ili tu USA na nato waweze kuishambulia atafanya hivyo kwa kweli

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Masikini waarabu na waafrika sijui nani katuroga aisee

Yaani sisi kazi yetu ni kugombanishwa halafu tunakuwa busy kweli kweli na vita na uhasama among us
 
Siamini macho yangu ninachokiona.
Seeing is believing,clip na maongezi yanadhihirisha,wakajitahidi kujitetea kua wapo kwenye international zone,Iran hawakutaka utani,amri moja tu,shusha helcopter na muondoke,wakawaambia na tayari kuna vikosi vinakuja huko,vikosi zaidi ya boti 4 faster vikawa vinaelekea kwenye meli yao,on the spot wakatii amri!

Ukitazama monitoring drones and satellite za hii clip,unaona kabisa Iran wangeweza kuizamisha meli mara moja na kuchoma ndege vita zaidi ya 20 ambazo zipo juu ya meli kwani target zote zilikua on alert
 
Mnadanganyana sn na viclip vyenu vya kuokoteza hv ingekua Iran Ana uwezo wa
 
Back
Top Bottom