maji

  1. B

    JamiiForums Tanzania Siasa ya uhai: Usalama wa Maji na Miundo mbinu yake Dar.

    Wanajanvi, nimekuwa nikipitia na kusoma mengi juu ya usalama wa nchi na afya za raia wake. Naomba nifanye declaration of interest "Mimi ni muoga sana wa ugaidi" Nianzie Napa, Car esalaamu inategemea maji ya Ruvu juu na Ruvu Chini. Ruvu juu ikuhudumu sehemu ndogo kulinganisha na ruvu chini...
  2. Paddy

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye diesel pumps za kuvuta maji naombeni ushauri wenu

    Habari za leo wanaJF! Ninahitaji diesel pump ya maji yenye uwezo mkubwa wa kutoa maji kutoka mita 200 kwenye bwawa na kuyaleta kwenye tank lililopo mita nne juu (limejengewa mnara wake). Naombeni ushauri wa aina ya pump na horsepower (HP) zake.
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndege ya C-130: Mabaki yake yapatikana yakielea katika maji Chile

    Maafisa wa Chile wanasema kwamba wamezuia mabaki yanayoaminika kutoka katika ndege ya kijeshi iliotoweka siku ya Jumatatu. Wanasema kwamba mabaki hayo yalipatikana yakielea kilomita 30 kutoka eneo ambalo ndege ya wanahewa wa Chile aina ya C-130 Hercules inayobeba mizigo ilikuwa na mawasiliano...
  5. masai dada

    JamiiForums Tanzania Kibomba cha maji kisikien tu

    Hiki kitu ni hatariiii sana. Yaani kisikie sehemu tu..usijaribu. Daah Ngoja nitaendelea kuandika
  6. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wawili wafariki baada ya kusombwa na mafuriko

    Watoto wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Kenya baada ya kusombwa na mafuriko katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua. Mmoja wa wahanga hao ni pamoja na mvulana wa miaka 13 aliyefariki katika kaunti ya Homa Bay baada ya mtumbwi aliokuwa akisafiria kupigwa na mawimbi mazito...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa azidi kulikoroga miradi ya Maji

    Nipashe leo 3 Dec 2019. Waziri wa Maji Mh. Prof Makame Mbarawa ameamua kuachana na makandarasi. Eti sasa atajenga miradi ya Maji kwa Force Account. Hiki kiutendaji ni kichekesho na upotezaji wa fedha ya umma. Hakuna asiyeona kwa macho mabomba yanayotiririka kwa siku kadhaa kabla DAWASA...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada/Ushauri: Ninahisi kama maji masikioni kila nikisikia sauti ya mbwa

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Nimekuwa nikihisi kama kuna maji masikioni kila (every instant) ninaposikia sauti ya mbwa (mbwa wanapobweka). Nimekuwa na hali hii karibu mwaka na nusu sasa. Sihisi maumivu yoyote ila imekuwa ni kero hasa mbwa wakibweka mfululizo...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mafuriko yapelekea Mji wa Mbale kukosa maji kwa takribani siku tatu

    Ukosefu wa maji umeikumba Manispaa ya Mbale kwa zaidi ya siku tatu kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa na kupelekea miundo mbinu ya Idara ya maji ya Uganda (NWSC) kuharibika. Akifafanua zaidi kuhusu tukio hilo, Mkuu wa kitenga cha Idara ya Maji Uganda Bw. Solomon Efearael...
  10. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhishwa na utekelezaji mradi mkubwa wa maji Arusha

    SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Maji...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 4000 hufa maji Ziwa Victoria kila mwaka

    Serikali imesema zaidi ya watu 4,000 hufa maji kila mwaka Ziwa Victoria kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo hali halisi ya vyombo vya usafiri, uwezo wa mabaharia, ubebaji mizigo, hali ya hewa, pamoja na ziwa hilo kutofanyiwa vipimo kujua maeneo yenye miamba na kina kirefu tangu ilipofanyika...
  12. kidadari

    JamiiForums Tanzania Police wapewa jengo la idara ya maji (Duwasa) kua makao makuu ya jeshi hilo Dodoma

    Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma. Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tujenge utaratibu wa kuhifadhi maji ya mvua

    Maji ya mvua yanapatikana bure na kama yanatumika vizuri tunaweza kupunguza matumizi ya reservoirs. Ukihifadhi maji haya kwa matumizi ya binadamu inabidi kuyaongezea baadhi ya kemikali. Maji ya mvua yanaweza kutumika kwa sewage system ya nyumba nzima. Unachimba shimo na kulisakafia kama shimo...
  14. CORAL

    JamiiForums Tanzania Naomba Mamlaka ya Maji Safi na Taka Mbeya ifutwe, wanalipwa mishahara bila kazi

    Mamlaka ya maji Mbeya wafanyakazi wake hawastahili kulipwa mishahara kwa sababu hakuna wanachokifanya na hawapo pale kutoa huduma ya maji kwa wananchi. Wapo kama TRA tu yaani kukusanya pesa basi. Ni miezi 4 sasa eneo la Uyole 90% ya bomba hazitoi maji. Wakilalamikiwa hawatoi msaada wowote...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Achomwa kisu baada ya kummwagia mwenzake maji machafu kwenye birthday

    MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Ufundi Trade Peramiho wilayani Songea, Grayson Maselin (23), amejeruhiwa na mwanafunzi mwenzake Mosses Ngole (23), kwa kuchomwa kisu shingoni baada ya kummwagia maji machafu siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake (birthday). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM maji yamewafika shingoni

    Katika historia ya nchi hii, hakijawahi tokea kipindi cha majaribu ya aina hii, ambayo wanaccm wanapitia hivi sasa Huu uchaguzi wa serikali za mitaa, umewavua nguo na hivi sasa mpo uchi wa mnyama Kitendo cha hao wasimamizi wa uchaguzi, ambao ni makada wa CCM kukata majina ya wagombea wa...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mikate ya maji iliyochanganywa na kuku

    Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu. Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi. Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua. Viamba...
  18. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Sumbawanga kufurahia mafuriko ya maji

    HIKI ndicho tulichokuwa tunakitaka. Ndivyo wanavyosema wakazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaosema hivyo baada ya kilio chao cha muda mrefu cha kukosa majisafi na salama kupata ufumbuzi. Wanasumbawanga na viunga vyake takribani 70,932 wanafungua maji ya bomba baada ya kazi hiyo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Nguo kupauka kutokana na maji

    Wakuu umofia kwenu, hivi dawa ya kutofanya nguo zisipauke ni nini? Maana natumia maji ambayo yana chumvi kwa mbal, sasa nguo zinapauka sana,,, Sasa ni nini dawa yake ili zisipauke?
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wajapan wamebuni mbinu ya kudhibiti matumizi ya maji

    Maji unayonawia mikono ndiyo yanasukuma uchafu.
Back
Top Bottom