Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
999
1,984
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.

WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
 
Samia hana habari na matatizo ya wananchi yeye akili yeke yote iko kwenye uchaguzi wa 2025 kama atafanikiwa kuendelea!!! Wananchi hawana budi kuamua kutatua matatizo yao kwa njia wanayoona inafaa. To wait for this government to act is a pipe dream; hawana uwezo kwani wamefikia kikomo cha kufikiri!
 
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.

WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
Hizi kelele za mtandaoni haziwezi kubadilisha chochote
 
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.

WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
Umeandika takataka, wewe ambaye hata ukinunua bidhaa hudai risiti? Halafu serikali itoe wapi fedha ya maendeleo

Unashinda kwa shemeji Dar na remote nyumbani kwenu umeacha mashamba makubwa yemye rutuba yanaota magugu
 
Matatizo ya nchi yetu ni combination ya wananchi kuwa mbumbumbu na viongozi wenye akili ndogo waliozalisha mifumo dhaifu ya kiutawala,elimu, uchumi, afya n. K. Kutegemea genge fulani la watu wachache kwamba litabadilisha hali ya nchi kwa ajili ya wengi ni ndoto za mchana bila tulio wengi kusimama imara kwa pamoja.
 
Umeandika takataka, wewe ambaye hata ukinunua bidhaa hudai risiti? Halafu serikali itoe wapi fedha ya maendeleo

Unashinda kwa shemeji Dar na remote nyumbani kwenu umeacha mashamba makubwa yemye rutuba yanaota magugu
wewe upo huko au wapi? uende kulima kwa mfumo huu wa uchumi wa ccm , kweli ndugu umelipima hilo. Anayefaid nchi sasa ni kundi lililopo bungeni kwenda juu
 
watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE.
SOME THING MUST BE DONE.
WE CANT GO ON THIS WAY.

WE NEED THIS GOVERNMENT OUT,
BY ANY MEANS.
WE NEED SAMIA NA GENGE LAKE OUT.
Ongezea na kikokotoo. Kuu
 
Matatizo ya nchi yetu ni combination ya wananchi kuwa mbumbumbu na viongozi wenye akili ndogo waliozalisha mifumo dhaifu ya kiutawala,elimu, uchumi, afya n. K. Kutegemea genge fulani la watu wachache litabadilisha hali ya nchi kwa ajili ya wengi ni ndoto za mchana bila tulio wengi kusimama.
watanzania tupo peace sana, sio kwamba hatuna akili.
 
Back
Top Bottom