Hahahaha mnaishi zizini...
Ukienda kuoga na giza utaishia kujipaka matope tuKwa akili yangu hii timamu, siwezi kuishi Dar. Kuishi Dar ni kero sana..
Eneo gani hili video ilipochukuliwa mkuu
Viongozi hawapo serious kabisa na maisha ya watu,Ukienda kuoga na giza utaishia kujipaka matope tu
Maji ya kisima nadhaniUrojo wa udongo wa mto ruvu
Taja eneo