maji

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa King'azi, Kata ya Kwembe na maeneo ya Kifuru hatuna maji tangu Januari

    Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari. Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Emoji za manyunyu matatu ya maji na biringanya kutumika sana Tz ni ushahidi kwamba ngono imekuwa ni kipaumbele zaidi kuzidi maendeleo

    Previous Emojis kwenye simu nyingi utakuta kuna manyunyu matatu ya maji likifutiwa na biringanya huwezi kuta emoji za muda (time is money). huwezi kuta emoji za vitabu (kutoa ujinga), n.k Emoji zinazotumika ni za kukamilisha ibada fupi ya lisaa ambayo inaweza kugharimu maandalizi ya lodge ya...
  4. maroon7

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kuna rushwa kwenye ufungaji wa maji

    Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa kwa kukutwa na Koki 330 za bomba, mali ya Mamlaka ya maji Katavi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) Mpanda wamefanikiwa kumnasa Gaudensia Assenge (45) kwa kukutwa na koki 330 za bomba ambazo zinadaiwa ni mali ya wizi. Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Kaster Ngonyani amesema mtuhumiwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

    Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje. Mnatupeleka wapi maana hatujui...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

    Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu 9 wafariki baada ya Gari yao kusombwa na Maji

    Watu tisa wamefariki dunia katika kijiji cha Lumeme Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma baada ya gari walilokuwa wanasafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani. Gari hilo lilikuwa limetoka katika kijiji cha Tingi wilayani Nyasa kuelekea kijiji cha...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Habari za Majukumu! Tangu mwaka huu uanze haya maji ya DAWASA nikiyanywa tumbo linaniuma. Zamani nilikuwa nakunywa ya kuchemsha yaani bila kuchemsha maji sinywi labda ninunue. Mwaka jana nikajaribu kunywa maji ya bomba (DAWASA) bila kuchemsha nikaona hayana shida. Ni mpaka mwaka huu Januari...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali iwasaidie Wanakijiji hawa wa Dodoma wanateseka kwa kukosa maji safi na salama

    Nimetazama video hii ya Habarika24 TV ikanikumbusha nilipowahi kufika kwenye hiki Kijiji cha Madaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma na vingine kadhaa vya jirani nilipoenda kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Nilikuwa na mwenyeji wangu ambaye alinieleza kuwa changamoto hiyo ni ya kawaida kwao...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni HAKI mbunge kuwauzia wapiga kura jimboni maji au sukari?

    Salaam ,Shalom!! Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maeneo mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji, Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake? Shida ya maji itakuja kwisha Kweli? Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji yaimarishwa Msomera Handeni - Aweso abebwa juu

    HUDUMA YA MAJI YAIMARISHWA MSOMERA HANDENI-AWESO ABEBWA JUU Wananchi wa kijiji cha Msomera wametuma salamu za pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi ikiofanyika katika kuwezesha upatikanaji wa huduma muhimu ya Majisafi na Salama pamoja na Maji kwaajili ya mifugo na pia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Mfawidhi LATRA mkoa wa Arusha Michael John wananchi wa King'ori na Kikatiti wanateseka mabasi yanaishia Maji ya Chai

    Tumesema mara nyingi kuwa kuna haya mabasi yanaitwa Covid-19 yamesajiliwa na serikali kupitia LATRA kufanya safari zake kutokea maeneo ya Oldonyosambu, Ngaramtoni, Monduli, Kisongo, Morombo, Intel, Mapambazuko kupitia Stand ndogo Arusha mjini kwenda Kikatiti na King'ori. Ukweli ni kwamba hakuna...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aigaza DAWASA kuboresha miundombinu ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Kiula Kingu amesema matengenezo ya moja ya chujio la kuhifadhia maji katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini yatakamilika leo ambapo tatizo la maji lililodumu kwa saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na Pwani litakwisha na Watu watapata maji safi...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Jordan yaomba kuuziwa maji na Israel

    Mtakubali tu nyie ni mizembe na mnategemea hako kataifa miaka yote hata kama mnakatupia mabomu.... On November 16, Jordanian Foreign Minister Ayman Safadi – whose anti-Israel rhetoric since October 7 has been strident – took to Al Jazeera to say the planned signing a month later of a three-way...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maeneo 38 kukosa huduma ya Maji kwa zaidi ya Saa 36 jijini Dar, kutokana na maboresho ya kuondoa tope kwenye Mtambo wa kuzalisha maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa Huduma ya Maji kwa Wateja wanaohudumiwa na mtambo Ruvu Chini, kuanzia Machi 5 hadi Machi 7, 2024 Kwa mujibu wa taarifa ya DAWASA upungufu huo unatokana na maboresho ya msingi yanayofanywa katika mtambo huo...
  20. Habari Leo

    JamiiForums Tanzania Kero ya wauza maziwa Arusha kuweka maji na unga wa ngano

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Hili ni janga la muda mrefu na hali hii inazidi kukomaa hali inayopelekea maziwa kutokuaminika kabisa. Wauzaji kuanzia wafugaji wanao kamua maziwa hadi wenye maduka wanaouza rejareja, wengi wao wanaweka maji ili maziwa yawe mengi na kisha kuweka unga wa ngano ili...
Back
Top Bottom