maji

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
  2. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi aadhimisha mitatu ya mama kwa kuzindua magati ya maji- Kibondo, wiki ya maji

    Alhamisi 21 Machi, 2024 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Dkt. Florence George Samizi amezindua Mradi wa Maji Safi na kisima Cha Maji katika eneo la Malagarasi na Gati la Maji Stendi ya Mabasi katika Uzinduzi wa Wiki ya Maji ambayo inaenda sambamba na Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. JamiiForums Tanzania Upotevu wa maji ni janga, lidhibitiwe

    Gharama ya upotevu wa maji (Non-Revenue Water- NRW) kwa mwezi mmoja jijini Mbeya inatosha kujenga mradi wa maji wa kijiji nchini. Mathalani, Mradi wa Maji wa Mwashaali unatumia shilingi milioni 400 na utanufaisha wakazi 6,000 wa maeneo ya Isyesye Mlimani na Block D jijini humo. Gharama za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  6. JamiiForums Tanzania Happy Birthday to you Boniface Mwamposa mtu mwenye maji na mafuta yake mjini

    Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
  7. JamiiForums Tanzania Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

    Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu. Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Dawasco hawatoi ratiba ya maji?

    Jamani, mimi sielewi kwanini huku Dar maji yanaweza katika kwa muda mrefu bila taarifa. Maji yanakatikaje wiki mpaka wiki mbili bila taarifa? Ni changamoto tofauti kuwa na uhaba wa maji, lakini changamoto nyingine kabisa kuwepo kwa mgao bila taarifa yoyote. Sijawahi kuona kipindi maji...
  9. JamiiForums Tanzania Magari yanayosambaza maji yanamilkiwa na nani?

    Kuna magari yanasambaza maji na wanasambaza sehemu yenye shida za maji. Dawasa naomba kujua yanamilikiwa na nani, mbona hawasambazi Masaki ama Oysterbay.
  10. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji Ihungo-Bugashani mjini Bukoba

    Mradi wa maji Ihungo-Bugashani-Nyakato-Burugo - Kahororo manispaa ya Bukoba. Mamlaka ya maji Buwasa wameshindwa kutekeleza ni miaka mitatu sasa wananchi wa maeneo haya wameshindwa kupata huduma hii ya maji. Sambamba na mkuu wa mkoa Kagera kuendeleza jitihada za kuutangaza mkoa na kuwahimiza...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Jirani yangu anafungulia majitaka, nifanyeje?

    Nainaishi tegetar maguzo. Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo. Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba. Bahati nzuri naishi peke yangu (chumba, jiko, sebule ndogo na stoo) sometimes nauvuta mwenza wangu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yatambua jitihada za Rais Samia sekta ya maji, yampongeza na kumuunga mkono zaidi

    UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi (Secretary of State for Economic Development) wa Ufaransa...
  15. JamiiForums Tanzania Duh kumbe rabies inasabisha hadi hydrophobia (hofu ya maji)

    https://youtu.be/XMvIQexojWo?si=KqoV8KWbaeZDTvA5 Rabies ni virus inayosababishwa mara nyingi na kung'atwa na mbwa, popo, mbwa mwitu, etc Ndio maana wanashauri mbwa kupewa chanjo mara kwa mara kuziua madhara ya kuwa infected na virus tofauti. Moja ya madhara ya rabies ni mgonjwa kuwa na hofu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa King'azi, Kata ya Kwembe na maeneo ya Kifuru hatuna maji tangu Januari

    Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari. Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  18. G

    JamiiForums Tanzania Emoji za manyunyu matatu ya maji na biringanya kutumika sana Tz ni ushahidi kwamba ngono imekuwa ni kipaumbele zaidi kuzidi maendeleo

    Previous Emojis kwenye simu nyingi utakuta kuna manyunyu matatu ya maji likifutiwa na biringanya huwezi kuta emoji za muda (time is money). huwezi kuta emoji za vitabu (kutoa ujinga), n.k Emoji zinazotumika ni za kukamilisha ibada fupi ya lisaa ambayo inaweza kugharimu maandalizi ya lodge ya...
  19. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kuna rushwa kwenye ufungaji wa maji

    Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu October 2023 ila tukaambiwa kuna upungufu wa vifaa tusubiri. Tukasubiri hadi mwaka ukaisha tunaambiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ashikiliwa kwa kukutwa na Koki 330 za bomba, mali ya Mamlaka ya maji Katavi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) Mpanda wamefanikiwa kumnasa Gaudensia Assenge (45) kwa kukutwa na koki 330 za bomba ambazo zinadaiwa ni mali ya wizi. Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Kaster Ngonyani amesema mtuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…