maji

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maji machafu toka machinjio ya Vingunguti

    Habari, Natumaini n mzima wa afya , wananchi wa wilaya ya ilala kata ya vingunguti tuna kero ambayo inaenda miaka miwili na nusu sasa ya maji machafu ambayo yanakuja mitaani kutoka kwenye mabucha mapya ya Vingunguti na kuwa kero kubwa kwa wananchi. Tumejaribu kufuatilia pamoja na kuwasiliana...
  3. Story Zaukweli

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maporomoko ya maji ya asili katika vijiji, yawe chanzo cha umeme katika Kijiji husika na vijiji jirani, ili kuongeza ufikiwaji wa umeme nchi nzima

    Utangulizi; Kurahisisha ufikishaji wa umeme nchi nzima na utoshelevu, ni lazma vyanzo vipya vya uzalishaji wa nishati viongezeke kutokana na mazingira husika. Kama sehemu yenye milima iliyo na maporomoko ya maji Kama njombe na milima ya upare, ambayo ina maporomoko mengi ambayo hayatumiki...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
  5. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania 1,000L Water Tanks For Sale (Ma-Tenk ya Maji Lita 1,000 yanauzwa)

    Habari Wakuu, Nina Matank ya Maji 15 nauza, ni haya meupe yanayokujaga na bidhaa za viwandani kisha baada ya kushusha mzigo yanabadilishwa kutumika kama ma-tenk ya kuhifadhia au kusafirishia maji au vimiminika vingine. Yapo 15, kila Tenk moja nauza 150,000/ Tafadhali zingatia: Bado...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Aweso ashiriki kupitisha Azimio la Mawaziri la Kongamano la 10 la Maji Duniani

    Leo tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali katika ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) ambalo limepitisha Azimio la Mawaziri (Ministerial Declaration on Water for...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dunia yaipongeza Tanzania kwa mikakati iliyojiwekea ili kufikisha huduma ya Maji Vijijini

    TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Maji hayana ku expire

    Maji ni dutu inayotokea kiasili ina maisha marefu sana kwa muda usiojulikana maji hayaishi muda wake, hata hivyo kutokana na ukweli kwamba chupa za maji za plastiki huchuja kemikali ndani ya muda wa ziada wa maji tunapendekeza maisha ya miaka 2 kwa maji ndani ya Chupa ya plastic. Baadhi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna uhaba mkubwa wa maji Ilazo Extension-Dodoma

    Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha maji yanapatikana. Huu ni mfano wa bili iliyokuja kwa mwezi mzima. Tumepata unit mbili pekee za...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili

    Eneo la Malamba Mawili ambalo lipo kata ya msigani linahudumiwa kupitia mtambo wa Maji Ruvu Juu. Kutokana na maeneo hayo kuzungukwa na vilima vikali na hupata maji siku ya Jumanne, Alhamis na Jumapili, lakini baadhi ya maeneo kushindwa kupata maji pindi msukumo wa maji unapokuwa mdogo. Mamlaka...
  12. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hivi ule Mpango wa Israel kujaza maji kwenye mahandaki kule Gaza uliishia wapi?

    Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail? Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyakahamba- Kerege wakamilishiwa mradi, dawasa yawaita wakazi maunganisho ya maji

    Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Akizungumzia utekelezaji wa mradi...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Queen Sendiga: RUWASA Hakikisheni Wananchi Wanapata Maji Safi na Salama Muda Wote

    Mkuu wa Mkoa Manyara, Mhe. Queen Sendiga amewataka Wakala wa Maji na USAFI wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuhakikisha wananchi Mkoani humo wanapata huduma Bora ya maji safi na Salama muda wote. Ameyasema hayo katika kikao cha watumishi wa RUWASA Mkoani humo kolicholenga kuwajengea uwezo...
  15. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Karibu wiki nzima Kimara hatuna maji. Shida nini?

    Karibu wiki mbili sasa tunatembelea ringi maji hakuna mitaa ya Kimara. Shida ni nini Dawasa?
  16. HYDROVENTURE

    JamiiForums Tanzania Tunauza na kufunga pump za maji kwa ajili ya mifumo inayotumia nishati ya jua na umeme

    Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu tukufungie Automatic Power Backup System,Solar Pumping System za gharama nafuu kabisa. Tunapatikana...
  17. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi. Nchi nyingi za Kiarabu ziko katika maeneo ya jangwa na zinakumbwa na ukosefu wa mvua, hivyo vyanzo vya maji ya...
  18. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to you

    Ni siku mpya hii, pia kwa ndugu wengine ni siku muhimu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao. Kama umezaliwa siku kama ya leo tujuze basi maana sisi ni familia. Japo hatuwezi kukumwagia maji, tutakupa wishes, ambazo pia zitaweza kukumotivate, na kufanya siku yako iwe njema na uifurahie zaidi...
  19. Rumanyika Donatus

    JamiiForums Tanzania KERO Upotevu wa maji kata za Kichanga na Tungi Manispaaa ya Morogoro imekuwa ni kero na uharibufu wa miundombinu

    Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji. Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji. Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
  20. michu03

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kutoka Mito Hadi Mitaa: Safari ya Maji Yenye Hasira ,Tafakari za Mafuriko na Mustakabali wa Miji Yetu

    Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine, hasira ya asili. Mito huanza safari yake kutoka vyanzo vya maji. Vyanzo kama chemchem, maziwa, na...
Back
Top Bottom