Kuanzia muonekano wa bwawa la Nyerere hadi kiasi cha umeme unaotengenezwa katika bwawa hilo ambao ni megawatt 2115 tu, kila kitu kimekuwa underplanned and underestimated (finyu). Tumepoteza nafasi adimu ya kutengeneza umeme wa kutosha kwa Taifa letu kwa miaka mingi ijayo kwa kutumia ka-sehemu...
Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama.
Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU!
Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya.
Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries
Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo...
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi...
Habari za muda huu wana JF,
Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji.
Kwakweli hali ni mbaya, mfano, hapa mtaani kwangu ni kama mwezi hivi sasa hakuna maji na kama yakitoka basi hutoka usiku...
TAARIFA KWA UMMA
Kuanzia Aprili 1,2024 hadi Aprili 7,2024 watu 15 wamefariki dunia kutokana na kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha, wengine wakiwa wanaogelea, wengine wakiwa wanavuka maeneo ambayo maji yanatiririka kwa kasi na wengine kutokana na kutumbukia kwenye mashimo/madimbwi...
Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe.
Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.
Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.
Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya...
Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo.
Je, njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji
=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
Chakula ndio chanzo kikuu cha nishati kwa mwili wetu kufanya kazi vizuri. Chakula pia huongeza usagaji chakula huku kikiipa nguvu mifupa, misuli na mishipa ya fahamu. Ikiwa hatutakula, tunaweza kuwa na hasira na upungufu wa maji mwilini.
Wanadamu hawawezi kuishi bila chakula na maji kwa siku...
Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamisha kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo.
Je njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi
Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI
Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
Leo ni siku ya tatu jet Lumo hatupati maji ya Bomba. DAWASA mko wapi? Kwa nini maji hayatoki?
Mbona hamjatupa taarifa kuwa mtakata maji?
Kwa nini mnaichongea serikali ya CCM kwa wananchi?
Mh. Mchengerwa hawa wanakuchezea usikubali hata kidogo.
Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
MTATIRO ASHUSHA BEI ZA MAJI SHINYANGA VIJIJINI
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji kwenye kata mbalimbali za jimbo la Shinyanga Vijijini na kutaka bei mpya ziwe sawa na zile za Shinyanga Mjini mara...
1. Kumekucha!
2. Huku kuna watoa misaada kawauwa kwa makusudi, kule kuna jingine na Iran linatokotoka vilivyo; kavunja Geneva convention kwa kushambulia consulate ya wengine ugenini.
3. Alimradi mwana mkaidi kazini!
4. Sasa amri anayoielewa vyema imeshatoka; tena ya babaake kutokea white...
TANESCO imesema kukatika kwa umeme kumesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya Kidatu, na hivyo kushindwa kuzuia mtiririko mkubwa wa maji yanayoingia kwenye mitambo na kusababisha mitambo kujizima ghafla ili kujilinda.
Hitilafu hiyo katika gridi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.