maji

  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Kutoka Mito Hadi Mitaa: Safari ya Maji Yenye Hasira ,Tafakari za Mafuriko na Mustakabali wa Miji Yetu

    Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine, hasira ya asili. Mito huanza safari yake kutoka vyanzo vya maji. Vyanzo kama chemchem, maziwa, na...
  2. JamiiForums Tanzania Wayaringi ya maji ndo mwonekano wa baadae kwenye nyumba, hotel nk

    Mpangilio wa vitu vyandani ndo mwonekano wa wayaringi iliyo fungungwa katika nyumba yako.kuna wateja wanapenda kubadirika kutokana na wameona nini Kwa rafiki yake wakati wayaringi yake hairuhusu kuonekana mwonekano anayetaka yeye pia napenda kuwashauri waweze kuchagua kitu kimja ambacho anaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na mvua kukata siku chache, Goba maji yanatoka kwa mgao, mnakaa wiki maji hamna

    Sasa ukitaka kufatilia kweli shida iko wapi? Kwanini hakuna anaewajibika? Mvua zimenyesha mpaka mafuriko lakini lao wiki ya pili maji yametoka mara moja tu. Mtetezi ni nani? Kwakweli hii sio fair kabisa
  4. JamiiForums Tanzania MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungen

    MBUNGE INNOCENT KALOGERIS, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya kwa kumtua Mama Ndoo kichwani, hii ilikuwa ni ajenda yake alipokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mafuriko yaukumba Mji wa Bukoba, Mkoani Kagera

    Mafuriko yatikisa Bukoba, binti afariki dunia kwa kusombwa na maji Ijumaa, Mei 10, 2024 Baadhi ya maeneo yaliyokumbwa na mafuriko Manispaa ya Bukoba. Muktasari: Msichana aliyebainika kuwa mkazi wa Mtaa wa Kasarani Kata ya Bakoba, amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akitoka nje...
  6. JamiiForums Tanzania MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji, Mwaka wa Fedha 2024-2025 Bungeni, Dodoma.

    MBUNGE DKT. FLORENCE SAMIZI, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maji katika Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025 Bungeni Jijini Dodoma. "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kwa bidii kuhakikisha azma ya kumtua Mama Ndoo...
  7. JamiiForums Tanzania Gari yangu imeingia maji

    Habari za majukumu wakuu? Gari yangu aina ya Toyota RAV 4 miss TZ jana ilinasa kwenye dimbwi la maji kwenye kina kirefu kidogo ikabidi mpaka tuite watu yale magari ya breakdown waje waitoe baada ya juhudi zetu kugonga mwamba. Sasa wakuu kwanza gari baadae ikagoma kuwaka kabisa tukachaji betri...
  8. W

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro: Wakazi wa Maeneo ya Manyuki mwisho tunateseka kwa Shida ya Maji, yanatoka mara 1 tu kwa Wiki.

    Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi kwamba yanashindwa kupanda kwenye Matenki na kutulazimisha kubebelea Ndoo na Madumu Sasa hii imekuwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Waziri wa Maji Nchini Mhe...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadili umiliki wa umeme na maji unaponunua nyumba

    Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maji ya ziwa Viktoria yavamia makazi Lamadi, kaya 400 hazina pa kwenda

    Salaam,shalom, Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo. Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi wilayani Busega, Lamadi kutokana na maji ya ziwa kuongezeka na kufunika ardhi MITA Hadi SITA kuja juu...
  12. JamiiForums Tanzania LUKU za Maji zinakuja lini jamani ili haya mabili ya kubambikiziana yaishe?

    Naomba nikikumbukushe Mhe. Waziri Mama Samia alituhidi Mita za Maji na akasema hataki tena kusikia mambo ya kubambikiziana bili ya yule peleka huku ya huyu weka kule zife Kiukweli inasikitisha inatia aibu hasa Dar es Salaam ongezeko la mabili linaendelea kama kawaida ..unit wanazokupa...
  13. JamiiForums Tanzania Mkakati Waanza Vijiji Ushetu Kuunganishiwa Maji

    MKAKATI WAANZA VIJIJI USHETU KUUNGANISHIWA MAJI Naibu Waziri wa Maji Mhe. Kundo Mathew amesema Wilaya zote zilizopo katika Mkoa Shinyanga tiyari zimekwisha kupatiwa maji kutoka ziwa Viktoria isipokuwa Wilaya ya Ushetu ambapo jitihada zimekwisha kuanza ili vijijini vilivyopo katika eneo hilo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba za Baa ya Lavipark - Tegeta zinatiririsha maji machafu barabarani, ni hatari kwa afya

    Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopata ujenzi wa Miradi ya Umwagiliaji, kuhakikisha wanaitekeleza kwa weledi na ubora

    WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji ya bomba ya mamlaka ya maji Songea (SOUWASA) yanatoka machafu

    Kwa wananchi wanaotumia maji kutoka mamlaka hii (SOUWASA)tumekuwa tukisumbuliwaa sana kutokana na maji machafu mekundu ambayo siyo salama kwa matumizi ya nyumbani. Hii ni changamoto ya miaka na miaka, ukiwapa taarifa wanakwambia yafungulie mpaka yatakapoanza kutoka masafi na ilhali maji hayo...
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaipita Kenya kwa Huduma ya Maji Safi na Salama

    👇🏿
  18. G

    JamiiForums Tanzania Hujaoga wiki nzima kwasababu ya mgao wa maji unatoa wapi nguvu ya kusifia viongozi mtanzania mwenzangu ?

    Na hata nguo zenyewe umerudia bila kuifua basi ni tafrani tupu
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji shule ya Sekondari Same

    Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa za kutaka kuleta wanafunzi wa kike (wasichana) ila ikashindikana kutokana na tatizo kubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Bomba kubwa la Maji Kibanda cha Mkaa, Lapata Hitilafu baada ya mvua kubwa

    Bomba kubwa la maji linalogawa maji katika maeneo ya Kibanda cha mkaa, Kwa Msuguri, Temboni na suka, Lapata hitilafu hivyo kuna hatihati ya kukosa maji kwa siku hizi mbili tatu. Habari ndugu wateja kutokana na Mvua kubwa imeathiri miundombinu ya Bomba kubwa eneo la kibanda Cha mkaa linaloleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…