maji

  1. Fundi wa fundi

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji

    AWESO ATEMBELEA VIWANDA VYA KUZALISHA MITA ZA MAJI ZA MALIPO KABLA CHINA, ASEMA WAKATI WA MABADILIKO NI SASA Shangai, China Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA mna nini na wakazi wa Mbezi Beach? Hatuna maji siku ya 3 sasa

    Wakuu salam, Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini? Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije? Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuna injini za magari zinazoendeshwa kwa maji?

    Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tuchukue tahadhari madimbwi ya maji yanaweza kusababisha KIPINDUPINDU

    Mvua kubwa za mafuriko zilizopiga zilisababisha madimbwi mengi ambayo athari zake zimeanza kuonekana kwani Kipindupindu kimeanza mfano katika mikoa ya Pwani ya Kusini kuna dalili za milipuko ya kipindupindu. Tahadhari ni pamoja na kutokula kula ovyo sio unakutana na mandazi ya baridi unayapiga...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tabata Bonyokwa tumepata maji siku moja baada ya kulalamika JamiiForums, ila tunaomba haya yazingatiwe

    Nipende kuipongeza japo kinafiki Mamlaka ya Maji DAWASA kwa kutupoza machungu ya kutokuwa na maji takriban wiki nne. Binafsi natambua kuwa suala la huduma ya maji ni gumu sana hivyo lawama haziepukiki. Natamani kuwepo na taarifa ya ratiba ya mgao wa maji kwa maeneo ambayo yana changamoto hasa...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo) linalofanyika tarehe 19-21 Juni, 2024, Macao SAR, China. Waziri Aweso ni moja wa waalikwa kati ya Mawaziri...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Gesi uliopo Ubungo Interchange unavuja na kuleta kero kwa Wanafunzi Chuo cha Maji

    Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu. Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nimeweka shabu maji lakini bado meusi?

    wataaalam wa teknologia ya maji KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!! Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesahau
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mungu ni maji

    Kauli kwamba "Mungu ni maji" ina maana tofauti kulingana na muktadha na imani ya mtu. Kwa kawaida, hii si kauli ya moja kwa moja kutoka kwa maandiko ya kidini, lakini inaweza kueleweka kwa njia mbalimbali za kiroho na kifalsafa. Katika dini na falsafa nyingi, maji hutumiwa kama mfano wa Mungu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza

    Wadau, Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki. Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata mchana maramoja kwa wiki au wanatolewa usiku wa manane! Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa (Butimba)...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Tabora azindua Mradi wa Maji uliogharimu Tsh. Milioni 975

    Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula. Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
  15. meemi

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya kukatika maji Kawe Ukwamani

    Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na uchafu huku wahusika wakikaa kimya na viongozi wa serikali ya mtaa kutoshughulika na kero hii...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shimo la kuhifadhia maji ya ujenzi

    Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea. Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7, naomba kufahamu Kwa ujazo huo je, inanipasa nichimbe shimo Kwa vipimo gani? (Yani nichimbe futi ngapi...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu, Juma Aweso na Emmanuel Cherehani, wameshuhudia utiaji saini mradi wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria

    DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
  18. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

    Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
  19. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

    Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani? Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure. Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi? Au wamekosea nini hawa raia? Bila shaka mtandao wa maji kutokea kimara una kasoro...wahusika fuatilieni. - DOKEZO - Malalamiko...
  20. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Ujana maji ya moto

    Wakuu muda sio muda natarajia Kula hiki kipande (Mombo to Segerea) naelekea Tanga, katika memory zangu sitakaa nikisahau hiki kipande kabisa, kila nikipita hapa huwa nacheka, it happened kama miaka 12 iliyopita nikipita kipande hiki na pikipiki usiku mnene, nafata nini? Ndo kichekesho sasa...
Back
Top Bottom