Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,183
- 10,920
Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida.
Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo kisipelekwe tena.
Taarifa waliyoitoa kwamba kuna baadhi ya wafanyakazi wa shirika la umoja wa mataifa la UNRWA walishiriki katika shambulio la oktoba 7 limepokelewa na wale ambao wanapendelea upande wa Israel na kujitoa mmoja mmoja kuchangia shirika hilo.
Kuzidi kupungua kwa misaada katika kipindi wapalestina hawawezi kujitafutia wenyewe kumesababisha watu waanze kula majani na kunywa maji machafu.
Baada ya kushindwa kwa vita vya ana kwa ana uamuzi wa mataifa hayo umepokelewa kwa furaha na Israel ikiona hilo litasaidia katika kuwashinda wapalestina na kuwaangamiza kabisa.