King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 914
- 1,704
Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa kwelikweli, lakini ikifika ijumaa jioni ni bata hadi jumapili, jumatatu kazi kama kawaida, kwa mtazamo wangu naona ni jambo zuri kutenga muda wa kufurahia maisha.
Kwa hiyo tusisahau ku enjoy life hata kama ni mara moja moja, shida zipo tu kikubwa ujue namna ya kukabiliana nazo, Hii itakufanya uwe na furaha, na pia kukuepusha na msongo wa mawazo.
Nb.Enjoy life..