Kijana kama kwenu maisha magumu ukimaliza kidato cha nne nenda VETA, achana na kidato cha 5

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea.

Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6).

Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss

Utakuwa hero aliyetoka mavumbini.
Msije kusema sijawaambia.
 
Classes hazifai
 
Mambo yamebadilika, ile dhana ya kusoma kwa malengo ya kuajiriwa imekosa dira, labda kusoma madigrii ya kuajiriwa kwenye nafasi za juu kama ukurugenzi na nafasi za kisiasa ngazi za juu, na wanaosomea hayo ni haohao walioko kwenye ajira tayari wana nafasi.

Hawa wengine kidato cha nne kinatosha, veta ndio mkombozi na uhakika wa kujiajiri katika ufundi. Mfumo wa elimu umebadilika automatically na kuwaacha watunga sera na wanasiasa hoi wasijue pa kuanzia kuweka mambo sawa.
 
Back
Top Bottom