Davido ashtakiwa kwa kumtishia maisha Tiwa Savage

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1704874316833.png

NIGERIA: Jeshi la Polisi nchini humo limeanza uchunguzi dhidi ya Nyota wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumnyanyasa Kihisia na Kumtishia maisha Mwimbaji #TiwaSavage

Kwa mujibu wa taarifa, inadaiwa Mastaa hao walianza kukosa maelewano kati yao Desemba 2023 baada ya Tiwa Savage kuweka Picha akiwa na mmoja kati ya Mama wa Watoto wa Davido kupitia Instagram

Tiwa amedai kuwa Davido alimtolea maneno ya kumdhalilisha na chuki pamoja na kumtumia Watu kwaajili ya kumuonya kwamba awe makini akiwa katika Jiji la Lagos, kitu ambacho kinatishia Haki yake ya Maisha, Utu na Faragha

Hadi sasa, Davido hajajibu chochote kuhusi tuhuma hizo dhidi yake
1704874333961.png

==============

Afrobeats star Davido is under investigation by Nigerian police after fellow singer Tiwa Savage reported him for allegedly bullying and threatening her.

Tensions between the two prominent musicians reportedly began last month after Tiwa shared a picture of herself and the mother of one of Davido's children on her Instagram story.

In her police report cited by several local news outlets, Tiwa says that Davido took offence to the post, deeming it as a taunt against him.

She alleges that Davido responded by "uttering very disrespectful, malicious and derogatory words" against her.

Tiwa also accuses Davido of sending people to warn her to "be careful in Lagos", which she views as "unethical" and "a direct threat to my rights to life, privacy and dignity".

Davido is yet to respond to the allegations.

The two stars have also unfollowed each other on Instagram

Lagos state police spokesperson Benjamin Hundeyin confirmed to the Punch news website that they have received Tiwa's report and begun investigations.

BBC
 
Back
Top Bottom