Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,892
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini.

Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni sawa kabisa. Wewe ni mwanaume lazima utongoze.

Katika mawasiliano ya hapa na pale, ukiwa unamseti Mwanamke kwenye angle unayoitaka ajae. Naye pia anakuseti kwenye Log10 yake ujae akupasue. Hivyo ni mchezo fulani wa kuzidiana akili na mbinu.
Kila mmoja akimvizia mwenzake.

Mwanamke yeyote anayetumia kigezo cha kukupima kama unampenda kwa Kukutaka fedha au umhudumie ujue huyo ni tapeli, hakupendi, na anachotaka ni kukupasua.

Elewa kuwa Mwanamke anayekupenda hakosi NAULI ya kuja kukuona mpenzi wake. Mwanamke hawezi kukosa nauli kwa Mwanaume anayempenda au mtoto wake aliyemzaa. Na Mzazi wake.

Sisi Watibeli tunatongoza Mwanamke na anakuja kwa nauli yake. Kama hataki tunapita kushoto. Hatulazimishi na hatutaki kulazimishwa.

Uzoefu wangu katika Mahusiano unaonyesha wazi kuwa Mwanamke akikupenda lazima ajitoe kwako kama wewe utakavyojitoa.

Achana na wale wanaume Washamba ambao wanatuma nauli alafu nauli hizohizo wanawake wanazitumia kwenda kwa wanaume wanaowapenda.

Mwanaume yoyote mjinga huona kujiumiza ndio uanaume wakati ni ubwege. Huwezi ukajiumiza kwa mtu ambaye hakupendi au kujiumiza kijinga ukasema huo ndio uanaume. Uanaume sio kuwa Bwege au Lofa.
Uanaume sio kujidharau na kukubali mtu mwingine akudharau.

Ni sawa na wale Mabwege yanayohudumia wake au Wanawake zao alafu bado hayapewi heshima, na tendo wanapimiwa au wanaomba. Wanaume hawapo hivyo.

Mwanaume lazima ujue kuwa jasho lako pia lazima liheshimiwe. Mtu anayedharau jasho lako amekudharau.

Kijana ukianza mahusiano usitume nauli, huko ni kutojitambua na kutojiamini.
Ni bora hiyo nauli utafute Kahaba au mwanamke mcheza vikoba hapo mtaa wa tatu umpe uende ukamalizane naye kama shida ni uzinzi, ngono.

Kama shida ni Mahusiano ya kweli, usitume Nauli. Mwache Aje kwa pesa yake mwenyewe. Naye lazima ajitoe kwaajili yako.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mh Robert Heriel Mtibeli mbona hivyo asubuhi yote hii kaka ?

Kwa leo mimi nilijinga ila omba ale nauli asije maana akija huwa hatamani kurudi tena

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kama nauli tu mnaona garama mahari je?

Kwani ukipigwa afu kumi kuna hasara gani? Kwanza ni hasara ya mwanamke mana haimfikishi popote! Na wewe utakua umepata faida ya kutofungamana kimapenzi na tapeli! Maisha hayana mfumo maalumu mtu anaweza kuja kwa nauli yake na asikuombe kitu akakuweka akiba akaja kukupiga parefu ambapo hukutegemea ukalia kama tarzan!
msitengeneze fomula, ishi maisha ya kufanya kwamoyo hizi tahadhari hazitosaidia chochote mwanaume anazingatia chain ya maokoto tu! Hizi mambo ndogo ndogo hazina nafasi ubongo una mambo mengi ya msingi ya kuwaza
- maisha ni kurisk
-focus
-mkono wa kutoa unapokea
 
Nawaunga mkono wanawake wanaokula nauli ila mwanamke anayetumia nauli ya mwanaume mwingine kuenda kwa mwanaume mwingine huyo ni mpumbavu

Kama umeshindwa kuenda kwa huyo mtoto wa mwanamke mwenzio aliyekutumia hiyo nauli ni heri uile tu kuliko kuendea kwa mwanaume mwingine

Na mianaume ya hivi inayopenda vitonga kula hela za wanaume wenzao kupitia mademu zao nayo inatakiwa ichapwe viboko hadharani na idhalilishwe tu
 
Kama nauli tu mnaona garama mahari je?
Mahari hilo tulishamalizana nalo kuwa Watibeli hatutoi Mahari wala binti zetu hawatolewi Mahari.

Kwani ukipigwa afu kumi kuna hasara gani? Kwanza ni hasara ya mwanamke mana haimfikishi popote! Na wewe utakua umepata faida ya kutofungamana kimapenzi na tapeli! Maisha hayana mfumo maalumu mtu anaweza kuja kwa nauli yake na asikuombe kitu akakuweka akiba akaja kukupiga parefu ambapo hukutegemea ukalia kama tarzan!
Kupigwa ndio kutojitambua huko.

msitengeneze fomula, ishi maisha ya kufanya kwamoyo hizi tahadhari hazitosaidia chochote mwanaume anazingatia chain ya maokoto tu! Hizi mambo ndogo ndogo hazina nafasi ubongo una mambo mengi ya msingi ya kuwaza
- maisha ni kurisk
-focus
-mkono wa kutoa unapokea
Wanaume OG wanaishi kwa Kanuni, Principles, formula, misimamo na miiko.
Mwanaume bwege ndio kama huyo unayemuelezea wa bora liende. Hana kanuni hana anachosimamia.

Hata likitafuta pesa hakuna kitu linafanya zaidi ya kugeuzwa msukule na Watu wengine yaani ndio yale yanafanya kazi ngumu na kuteseka alafu yanatoa pesa kwa Mwanamke mjinga kirahisi.
Huko ndio kutojitambua kwenyewe
 
Nawaunga mkono wanawake wanaokula nauli ila mwanamke anayetumia nauli ya mwanaume mwingine kuenda kwa mwanaume mwingine hiyo ni takataka

Kama umeshindwa kuenda kwa huyo mtoto wa mwanamke mwenzio aliyekutumia hiyo nauli ni heri uile tu kuliko kuendea kwa mwanaume mwingine

Na mianaume ya hivi inayopenda vitonga kula hela za wanaume wenzao kupitia mademu zao nayo inatakiwa ichapwe viboko hadharani maana haina msaada

😂😂

Hela za Mabwege zinaliwa kirahisi hivyo.
Ukisema wachapwe viboko utachapa mpaka Mitume na manabii wa mchongo kwa maana hao ndio wanakula hela zamabwege kimserereko
 
Mh Robert Heriel Mtibeli mbona hivyo asubuhi yote hii kaka ?

Kwa leo mimi nilijinga ila omba ale nauli asije maana akija huwa hatamani kurudi tena

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Watibeli hawa-bet ndio maana hawawezi kutuma nauli kwa jambo ambalo hawana uhakika nalo.
Demu kama kakubali atakuja mwenyewe kwa nauli yake. Hajakubali apite kushoto wapo wenzake wakali na warembo watakaotumia nauli zao kwenda kwa wanaume wanaowapenda
 
Wachache watamuelewa mtibeli, imagine nakuita date, our first date alafu mwanamke unademand nauli hahah godamit! Hiyo ni red flag unajua tu huyo demu ni class gani.
 
Back
Top Bottom