TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “
Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo!
nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda.
sasa naweza kukusaidia
Kila eneo...
Yule aliyeinuka mmoja tu kwenye familia. Anategemewa na familia nzima na kuna wakati anasahau kuwa ana familia yake. Anawaza amalize nyumba ya wazee, ada ya wadogo zake, chakula chao cha kila siku.
Kwakua huyu ndiyo mtoto nyota wanaona hata wewe mume:mke unawazibia kwa mtoto wao. Pasi...
Wanajamvi habari za muda huu? Naamini mko salama.
Leo nimeona nije na mada hii kwamba siasa ndo inarun maisha kwa kuwa kila tunapobadilisha viongozi wa kisiasa kila kitu kinabadilika. kwa hiyo kwa uelewa wangu siasa ndo kila kitu.
Kwanza ukiangalia mifumo ya maisha wanasiasa ndio wanaobuni...
Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana.
Nikikumbuka miamala niliyokuwa naifanya kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu na starehe mbalimbali.
Nimemkumbuka pia...
Wadau kheri ya mwaka mpya 2020!
Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua.
Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa ....
Baada ya kujifungua huyu mtoto wetu ... Yaaani alinipotezea kabisa ....hamu ya tendo sijui...
Waziri wa zamani wa Habari na Mawasiliano, Son Bac Nguyen amehukumiwa kifungo hicho huku aliyekuwa Naibu wake, Tuan Quoc Tran akihukumiwa kifungo cha miaka 14 kwa makosa ya rushwa yaliyoisababishia Serikali hasara ya Dola za Marekani Milioni 3
Mahakama ya Watu ya Hanoi imetoa kifungo hicho kwa...
Kabendera alikuwa anatafuta pesa haramu kwa njia haramu
Alijua anatenda jinai
Alijua anayemdhalilisha hawezi kupambana naye
Alijua mama yake ni mgonjwa na hawezi kupata huduma sawia bila yeye
Kwa nini ajiingishe kwenye mfumo hatarishi wa maisha?
Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani.
Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi mkubwa sana hapo ndipo episode za movie huishia tukutane kwenye movie nyingine.
Hongera Kayumba huu...
Watafiti nchini Marekani wamebaini kwamba kutokula kwa masaa 16-18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa.
Katika makala iliyoandikwa katika jarida la “New England Medicine”, imebainishwa kwamba kula ndani ya masaa 6-8 katika siku na masaa...
Wakuu habali zenu
Nasomeka gambeni muda huu nina serengeti lite 10,kwa mwana ambae yuko around mitaa hii
niko pub yangu ya kitaanii Gold j pub hapa sinza madukani karibu na jengo la emirate.
ila kama unajijua wewe ni chawa usisogee karibuni sana .
Kiroho safi tufurahie holiday jamanii
Mahakama ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka Mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi.
Hata hivyo, Lissu ameieleza Mahakama kupitia Mdhamini wake Ibrahim Ahmed kuwa anahitaji kurejea ila bado anahofia usalama wake, kesi imeahirishwa hadi...
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa kiongozi wa kijeshi dikteta huko Zaire. Mke wake wa kwanza Marie-Antoinette Mobutu, alifariki kwa ugonjwa wa moyo mwaka 22 October 1977 Genolier, Switzerland akiwa na umri wa miaka 36.
1 May 1980 alimuoa Bobi Ladawa pamoja na pacha mwenzake...
Tabia ni nini:Tabia ni mambo au matendo ya kimazoea ambayo unaweza kuyafanya au kutokuyafanya bila kutafakari,kuhofia au kujali matokeo yake.Ni utaratibu uliozoeleka na kukubalika kwa mtu mwenyewe kutokana na mazoea aliyojijengea.Tabia inaweza kuwa nzuri au mbaya katika muktadha fulani na...
Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi uzinduke mwenyewe ambapo elimu hiyo ni elimu ya kujitambua,asilimia kubwa ya watu wanafeli katika,biashara,mahusiano,ujasiriamali na vingine vingi sababu kuu ni kutokujitambua,na bahati mbaya zaidi...
Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU!
Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa.
Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran.
Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la habari la Iran wiki iliyopita, kuwa watu elfu 8 333 wamefika mahospitalini wakilalamika kandamwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.