maisha

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mengi yamewekwa Majumbani mwetu 'Kibabe' hivyo kwa 'Tamko' hili kuna Watu wanataka Kutulazimisha tukayaanze Maisha yetu mapya Magerezani

    "kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC. EastAfricaRadio Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku zilizobaki kampeni ielekezwe kujibu hoja za Lissu na nini kitafanyika kuboresha maisha

    Nimesikilza hoja nyingi za Mgombea wa Chadema kwenye kampeni zinashawishi kuwa Serikali iliyoko madarakani imeshindwa kujibu changamoto za watanzania kwa kuwapatia uhuru, haki na maendeleo yao kama binadamu. Hoja hizo zimejikita kwenye mambo yafuatayo: 1. kutokuwepo na uhuru wa kujieleza,uhuru...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ya watu DSM kukaa kimakabila ni uoga wa maisha au ndio mbinu za kulikabili jiji?

    Sijui kama duniani huko nako kuna huu mtindo. Yaani imenichukua muda hadi kugundua asilimia karibu 60 ya majirani zangu ni watu kutoka Sumbawanga. Juzi nimejua tena wanaundugu. Juzi nimepita Mtaa flani karibu na Eneo linaitwa Msingwa. Nashangaa karibu kila mwanamke ni mweupe na kama...
  4. BILGERT

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto. Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha. 1. Sinza na Tandale Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia. 2. Kawe na Mikocheni Kawe kuna uswazi ila...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya uchaguzi kupita, tuwekeni akiba ya maneno na vitendo

    Hata iweje maisha yataendelea baada uchaguzi kumalizika na bila kujali matokeo ya Uchaguzi yatakuwaje. Wadau wote wa uchaguzi, yaani Wanasiasa, wagombea, ofisi ya msajili, Tume ya Uchaguzi, Askari, wasimamizi wa uchaguzi, wahesabu kura, mawakala na wapigakura tukumbuke muda wote kuweka akiba ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania tusiyumbishwe, chagua CCM, chagua Magufuli chagua maendeleo na maisha yako. Usindanganyike!

    Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kama uchumi wako ni wa kipato cha kati na umeendekeza kugawagawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea

    Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka. Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo. Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
  9. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku

    Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch jamni maana ndo muda wenyewe huu Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna. Watu mlitiririka sana. Sasa leo tunazungumzia vitu...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Hapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu! Nawaza tu bilioni 700 Tshs ambazo ni hela nyingi sana yani hata Richmond haioni nusu yake. Kama zingetumika kwa mtu kuona...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kudhibiti matumizi mabaya ya Bima?

    Nadhani ‘Life insurance policy’ ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya mauaji. Unless otherwise hakikisha yule beneficiary hajui, otherwise atakutafutia namna akuue ufe kabla ya siku zako ili aanze kufaidi matunda ya bima aliyowekewa. Pia bima kubwa imekuwa ni chanzo cha wahindi kuchoma moto...
  12. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  14. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

    Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚‍♀️🧚‍♀️ Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna namna🥂🥂🥂 Huo ulikuwa ni utangulizi tu 😅😅ngoja nirudi kwenye uzi sasa🤪🤪🤪 Aiseh hakuna kitu sipendi...
  15. Kiburi si uungwana

    JamiiForums Tanzania Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  16. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  18. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Furahia kuwa Askari katika Maisha yako na Don Nalimison

    Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician &advisor, appreciate yourself as being a soldier . Everyone is a Soldier in his/her life...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu kwangu tu au tupo wengi?

    .......YNWA...... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Unapitia Maisha magumu ebu jifunze kwa huyu kiumbe

Back
Top Bottom