Wakati watanzania tunaogopa volcano kuna watu wanaitegemea kuendesha maisha jionee mwenyewe

1. inategemea na hio volcano unafikiri ikiripuka hata hao watakaa hapo? volcano yetu kama Oldonyo lengai ile inaruka inatembea umbali mrefu ni hatari, volcano nyengine zinakuwa tuli ama mfu hizo ndio zinaweza kuwa na faida kwa mwanadamu.

2. volcano ya kawaida inayotoa tu gas ambayo hai erupt hata hapa Tanzania inatumika
-tuna hotspring nyingi tu zinazotokana na volcano kama kikuletwa
kikuletwa-hotsprings.jpg

-kilimo cha kilimanjaro na ardhi yenye rutuba sababu ya kilimanjaro
-utalii mlima kilimanjaro wenyewe
-moram hio wanachimba inatumika vitu mbalimbali etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom