Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila kaongeza maneno macheche ila mazito kuhusu nini kinaweza kufuata au kuambatana na uchaguzi huo na ambacho ndio concern yake kuu kitu ambacho/jambo ambalo hata mimi limenifanya nitafakari baada ya kumsikiliza.

Ukisikiliza clip hiyo ambayo iko katika akaunti ya twitter ya Daily Nation, utagundua mwenzetu ameshatazama mile kadhaa mbele na kaamua kutuandaa kisaikolojia kupitia mahojiano hayo juu ya nini kinaweza kutukoea wakati na baada ya uchaguzi huu.

Tuliozoe kusikia kauli za wanasiasa,maneno hayo ni ya kawaida, ila binafsi nakiri ni mazito japo kayatoa kwa mtindo wa swali, swali ambalo kila mtu inafaa ajiulize.

Jiongeze kunakohusika kukata kiu yako.
 
Nyie watu mmevurugwa mapambio yenu ya TUME HURU huku mnashiriki uchaguzi yanaisha lini??

Njaa zenu za kugombea ruzuku yatawatokea puani mwaka kuu.

BILA UKAWA HAKUNA ONGEZEKO RUZUKU.

Nipo hapa namsubiri ZITTO ambaye mlimtabiria kila aina ya laana.
 
Prof.Safari aliwashauri wapinzani WASISHIRIKI CHAGUZI IWAPO HAKUNA HIYO TUME HURU MUITAKAYO...lakini wapiiiiiiiii......

Ruzuku Ruzuku Ruzuku Ruzuku

CHADEMA UKAWA ikawarubuni kina marehemu MAKAIDI.....
CHADEMA UKAWA ikawarubuni kinaMAALIM hadi JUMA DUNI HAJI akahamia CDM awe mgombea mwenza...
CHADEMA UKAWA ikamrubuni JAMES MBATIA......

Walirubuniwa kwa PESA ZA RUZUKU.....

Baada ya kufanikisha zile Kura milioni 6....WAKAWAGEUKA WENZAO HAO....

Sumni shilingi hawakuwapa.....

WENZAO WAMEWASHTUKIA KIPINDI HIKI....

James Mbatia hataki hata KUWASIKIA.....
Selasini utamkasirisha ukimkumbusha CHADEMA....

Chama Cha Wajanjawajanja wa MJINI....

Naulizaje eti "mtendaji mkuu" huwa ANAFUNGWA KAMBA KICHAA KIKIMPANDA?!!!!🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Nyie watu mmevurugwa mapambio yenu ya TUME HURU huku mnashiriki uchaguzi yanaisha lini??

Njaa zenu za kugombea ruzuku yatawatokea puani mwaka kuu.

BILA UKAWA HAKUNA ONGEZEKO RUZUKU.

Nipo hapa namsubiri ZITTO ambaye mlimtabiria kila aina ya laana.

Hawa hawa wanaotoa rushwa hadharani ndio watashinda kihalali?
 
Muundo wa Tume ya Uchaguzi ni almost ule ule tangu mwaka 1995. Issue kwamba uchaguzi huu utakuwa/hautakuwa "huru na wa haki" sio jambo jipya. It is a pity wanasiasa wote huwa wanaliibua suala hili miezi michache kabla ya uchaguzi. It seems everybody is in agreement with the status quo na maisha yanasonga
 
Back
Top Bottom