wakuu upendo wa wengi umepoa au ugumu wa maisha ya tz ya ulimwengu wa pili

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,850
2,000
zamani mida kama hii ningekuwa nimeshapokea mahotipoti kama matatu ya pilau na vitoweo mbalimbali vya iddi kutoka kwa ndugu na majirani wanaosherekea sikukuu hii.

leo hadi sasa bila bila sijajua tatizo ni nini?
Tembelea majiran mkuu kawajulie hali, huwezi kukosa chochote
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,314
2,000
Inawezekana upungufu wa kipato mkuu, kwa kawaida kipato kikipungua watu hupunguza/huachana na matumizi yasiyo ya lazima kama vile sherehe na burudani mbalmbali kinyume chake ni sahihi pia.

zamani mida kama hii ningekuwa nimeshapokea mahotipoti kama matatu ya pilau na vitoweo mbalimbali vya iddi kutoka kwa ndugu na majirani wanaosherekea sikukuu hii.

leo hadi sasa bila bila sijajua tatizo ni nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom