Ukipewa nafasi ya kuyaanza upya Maisha yako jambo gani ungelibadilisha?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,908
Mimi kwakweli ningetaka kwanza nirudi shuleni kuanza chekechea mpaka darasa la saba, nategea ikifika 2009 nakuwa Msanii najiita Diamond Platnumz 😜😜🤣🤦natunga kamwambie ndio naanza nao maana si ndio uliomtoa🤣 sianzi na ile sijui jisachi, maana sitatoka ntapigika kitaa.

Ewe Mwenzangu na mimi niambie nawe Mawazo yako ukipewa hiyo nafasi karibu. Mnisamee hizi ni bangi za kuvuta bila kula🤪🤯😵
 
Binafsi ningeensa seminari na kuwa padri, maana nilizikimbilia papuchi kumbe hazina maana kabisa, sana sanan zinanimalizia ela zangu tuu
Sasa ukiwa padri utatunza pesa ili uwe tajiri au? Na ukishakuwa na pesa utazitumiaje ili ufaidi uwepo wako hapa duniani?
 
Ningelimaliza chuo na kutafta namna ya kujiajiri na kukuza mtaji wangu tu the maximum.Ningeliachana kabxa na wazo la kuajiliwa serikalin.Ningelikomaa hata kwa mwanzo mgumu maana kufikia wakati nilionao ningalikuwa na pesa mingi xana per month ukilinganisha na ajira za serikali ya jamhuri
 
Kama ningelibadiri jambo basi ni kukukataa kuzaliwa pasi ya matakwa yangu, maana ninauona umuhimu wangu katika dunia ilhali dunia haioni umuhimu wangu.

Nisingeruhusu uwapo wa vyama vya kale (Dini), na ningelihakikisha vinafutika katika uso wa dunia. Bila hata ya kurudisha muda nyuma nitahakikisha vinafutika.

Ningeliweka uwiano sawa kusingelikuwa na miji wa vijiji bali jamii moja yenye usawa katika maeneo. Hapo ndio dunia ya mwanzo ilipokosea.

Nisingeruhusu ujamaa wala ubepari bali ningetengeneza uwiano sawa ndani uliberali.

Na mengine mengi zaidi ....
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom