mahusiano

  1. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Jina steven lina mahusiano gani na movie za kizungu?

    nimejaribu kuchunguza nimebaini kati ya movie kumi za kizungu tisa zinamshiriki anaitwa steven hii imekaaje wakuu
  2. Tumainiely Moshi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike kuanza nae mahusiano

    Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu SIFA: 1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25 2.Awe mweupe au maji ya kunde 3.Asiwe mnene sana wala mwembamba sana 4.Dini yeyote 5.Kabila lolote 6.Awe na nidham pamoja na maadili mema 7.akiwa...
  3. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

    Nakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii. Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia kwamba ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu alizaa na jamaa mmoja ambae kwasasa...
  4. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  5. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

    Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ . 1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake 2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana 3.jina la mtoto wake...
  6. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuingia katika mahusiano na mtu ambaye huna malengo naye ila yeye ana malengo na wewe

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe. Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela...
  7. April26

    JamiiForums Tanzania Shetani katawala katika mahusiano

    Wana JF kwema! Kiufupi siku hizi wàpenzi wengi hukutana kupitia njia za shetani kuliko njia za muumba (sahihi). Mfano; msichana anapenda Mali, pesa n.k, toka kwa kijana na kijana nae anapenda chura tuu basi mahusiano button ON. Hizi ni tamaa sio mapenzi. Kama unawaza kuwa na mpenzi kwa...
  8. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Nimeamini upole hausaidii chochote kwenye mahusiano

    Habarini wana jamvi. Natumai my wazima humu. Kiukweli bila kupepesa macho, imebidi ty niliyotoe La moyoni. Mahusiano ambayo mwanaume anazidisha upole kwa kudhani ndo anakuwa romantic huwa ni ya mateso makubwa kwa mwanaume na nd ambao mwishoni tunasikia Mara kajinyonga, ooohh mara hamida...
  9. Stiffler88

    JamiiForums Tanzania Divorced people: Ilikuaje ?, Umejifunza nini na whats your future take moving forward on Marriage/ Relationships

    Kwa miaka ya karibuni Talaka zimekua nyingi sana ? Umri wangu Nipo in early 30's na nmekua kwenye relationships kadhaa ambazo hazikuweza ku mature kuja kwenda ndoa lakini pia nmeona watu wangu wa karibu waliooa wapo ambao ndoa zipo vizuri, wapo ambao wanastruggle na wapo ambao washaachana. So...
  10. Maleven

    JamiiForums Tanzania Unamudu/ilimudu vipi mahusiano (ndoa) baada ya uaminifu kufunjika ?

    Inapofika wakati uaminifu juu ya mwenza wako unakua haupo kutokana na viashiria vya usaliti lakni kuna mazingira yanalazimisha kua pamoja , unawezaje kuishi katika hali hii ? pia je kunna mahusiano ambayo hua hayana hizi struggle za hivi ?
  11. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Tupe kumbukumbu yako, ni kwa namna gani "Umakini" uliathiri mahusiano yako?

    Habari ya muda huu wana MMU! Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano. Kutokuwa makini kati ya wenza wawili kumepelekea mifarakano na hata kuchangia kuvunjika kwa mahusiano. Kutokuwa makini...
  12. JMipicha

    JamiiForums Tanzania Punguza wivu kwenye mahusiano

    Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana . Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja .. Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama...
  13. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Boresha mahusiano/penzi kwa ladha tofauti za piano

    Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara. Leo bana nimeona nishare na wakulungwa wenzangu maana haya maswala ya mapenzi hayana professional yani yanahitaji ubunifu...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya kuombana pesa kwenye mahusiano kabla hamjaonana ni sawa au kuumizana tu

    Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Joe Biden pengine utajenga mahusiano mazuri na Dunia

    Kuapishwa kwa Joe Biden kama Rais wa Marekani leo kumefuatiliwa na wananchi wa dunia na pengine imefurahiwa na wengi kwa vile walio wengi wanatarajia mabadiliko ya utekelezaji wa sera za Marekani kuhusu Afrika na mataifa mengineyo hususani ya nchi zinazoendelea. Ni ukweli usiopingika Triump...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wadau, kuna mahusiano gani baina ya mbu na sikio?

    Wadau aiseee ebu wataalam waelezee kidogo uhusiano uliopo kati ya mbu na sikio manake mbu anataka damu so inabidi akungate sasa hii kulia sikioni yaani anauzi atazunguka koote atarudi sikioni ziiiiiiiii na sikioni hakuna damu sijui anataka nini
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa wimbi kubwa la ndoa na mahusiano kuvunjika kwasababu ya video za chumbani tunazorekodi

    Kwa sasa hivi smartphone zimekuwa kawaida sana kumilikiwa na watu wengi hususani vijana, Smartohone hizi zina kamera ambazo baadhi ya vijana huzitumia kujirekodi wakiwa katika ibada ya utamu. Miaka inavyoenda vijana wanaoa na kuwa na familia, mda huu wanakuwa wamesahau uchafu wao ambao upo...
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania Vijana tuwe makini. Mahusiano ya online ni sawa na kuuziwa mbuzi katika gunia

    Heri ya mwaka wa 2021 Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi. Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
Back
Top Bottom