Kwanini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za Leo wakuu. Wakuu nina swali...

Hivi ni kwa nini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa? Na je tufanyeje ili kuwadhibiti?

Labda nikupe tu mfano mmoja. (Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuchukua limbwata za kuwafunga waume zao) Lengo hapa ni kuwageuza wanaume wao misukule ili wawasikilize kwa kila watakachosema.

Hivi kuna baadhi ya watu humu tayari walishafungwa ila hawawezi kujielewa. Wanaendeshwa kwa kutumia remote. Utakuta mtu anashindia mishati haieleweki lakini mke wake sasa. Hiyo ni dalili ya kufungwa.
 
Hio kitu ipo tu sana kwa wanawake ..kuna ndugu yangu mmoja alioa wake wawili hasa baada ya kuona mke mkubwa anamzingua
So akawa anakaa kwa mke mdg ...siku moja kamtembele mke mkubwa akaandaliwa msosi fresh tu.....ile kushika sahaniiii Mara vuuup sahani kule....katikati ya ugali lilichomoka konokono hai ...apo imagine msosi wa moto
 
Uwezo wa kuilinda ndoa Mungu kawapatia hii ipo kimaandiko...ila hawajiamini wanapenda kuongeza kwenye chochote Mungu alichowapa hata kama ni kinyume cha aliyewapa cha awali
 
Ni vile hatujuago tu ila tunazuia Baraka nyingi sana kwa hawa wanaume.imagine,Mimi namloga,na hivi michepuko kwao ni jambo la kawaida ..mchepuko nao unamloga,mwingine nae anamloga,,Yani ni kisanga tupu😩😩😩

Baraka na ridhiki hupotelea hapo...
 
Hio kitu ipo tu sana kwa wanawake ..kuna ndugu yangu mmoja alioa wake wawili hasa baada ya kuona mke mkubwa anamzingua
So akawa anakaa kwa mke mdg ...siku moja kamtembele mke mkubwa akaandaliwa msosi fresh tu.....ile kushika sahaniiii Mara vuuup sahani kule....katikati ya ugali lilichomoka konokono hai ...apo imagine msosi wa moto
Wanaume tuwe makini sana, maana wanatulisha vitu vya ajabu sana hawa viumbe ili kutudhibiti.
 
Wewe unachukua wanawake wasiojua kanisa wala msikiti mpaka sikukuu au maulidi unakuta mkaka unachukua demu au unaoa mke hata kuomba hajui acha mfanyiwe ushirikiana mpaka mkome
Kweli aisee, hapa tunakosea sana.
 
wanawafunga waume zao. utakuta mme haeleweki yaani, anavaa mishati haieleweki, hana msaada kwa ukoo wake, yeye anatazama mke tu.
Hii kitu misaada kwa ukoo! Huwa inanichefua sana. Mtu mwenye mawazo kama haya hawezi kuendelea, tafuta vyako baadala ya kulalama ati usaidiwe. Je, unayeshadidia asaidie ukoo; ukoo una Mchango gani katika ukuaji wake kiuchumi?
 
ukiwa na roho ya ubinafsi huwezi kunielewa nini namaanisha.
 
Hii kitu misaada kwa ukoo! Huwa inanichefua sana. Mtu mwenye mawazo kama haya hawezi kuendelea, tafuta vyako baadala ya kulalama ati usaidiwe. Je, unayeshadidia asaidie ukoo; ukoo una Mchango gani katika ukuaji wake kiuchumi?
Huyo mwanamke aliyekufunga ndio kakusomesha? ndio kakukuza kwa maji na chakula? Ukitumia akili zako utanielewa tu. Ila ukitumia akili za kufungwa huwezi kunielewa.
 
Huyo mwanamke aliyekufunga ndio kakusomesha? ndio kakukuza kwa maji na chakula? Ukitumia akili zako utanielewa tu. Ila ukitumia akili za kufungwa huwezi kunielewa.
Ukizaa mtoto ni wajibu wako kuhakikisha unamfanyia kila kitu ulichokisema. Lakini si wajibu wake kukutunza ila ni fadhila za mtoto(sunna). Acha akili za kimaskini ati usaidie ukoo (sharing of poverty)
 
Tuna play part katika active cash circulation. Inatokoa kwa mume inapitia kwa mke inakwenda kwa mganga. Mganga ananunua sukari na sabauni, muuza duka anapata pesa ya kununua misumari ya kujengea.
 
Back
Top Bottom