mahusiano

  1. R

    Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  2. Ritchy Breezy

    Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

    Habari za muda huu GUYS... Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana). Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa...
  3. A

    Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
  4. Miss Zomboko

    Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

    Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
  5. Surya

    Safari ya mahusiano (mapenzi)

    Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF. Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...
  6. Surya

    Nalaumu sana mabinti, wanakosea sana kwenye mahusiano (Ep. 1)

    Twende moja kwa moja kwenye mwanzo wa Series hii. ~Kitu cha kwanza ambacho wasichana wengi wanakosea ni, kuamini kua mwanaume akimpa hela ndie anampenda kwa dhati, Wanawake wengi amabo ni wazuri kwa muonekano (maumbo ya kutamanisha) wanajiamini sana kua lazima apate mwanaume atakae mpa hela na...
  7. masara

    Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

    za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja, kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto. kwa sababu...
  8. Surya

    Umewahi kuwekeza nini kwa ajili ya mapenzi (mahusiano) na mkaja kuachana?

    Swali langu ni umewahi kuwekeza kitu gani au shilingi ngapi kwa kukadilia katika mapenzi ili kudumisha mahusihano yako na mwanamke au mwanaume? Ngoja niongelee kwa upande wangu, Mimi nimekua ni mtu mgumu sana kutoa kitu changu au pesa yangu kwa ajili ya kumpata mwanamke, siamini katika hilo...
  9. Kichuguu

    Kwa Vijana: Mahusiano mengine ni ya ajabu sana

    Fuatilia mahusiano kwenye mjadala huu usikie maajabu
  10. smarte_r

    Uzoefu wangu kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi

    Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato. Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike...
  11. GENTAMYCINE

    Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

    Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi...
  12. Komeo Lachuma

    Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

    Inaniumiza sana.kila demu ninayempata anakuwa na shida moja tu. Yaani hazipiti siku 2 anaomba pesa. Hii tabia imekuwa kwangu kufanyiwa ni kawaida. Nimepata msichana nikaanza sema moyo ngoja nikae hapa. Tumeonana mara moja kesho yake ananambia simu yake mbovu nimnunulie nyingine. Nlijisikia...
  13. kilamba lamba

    Mahusiano yoyote yaliyovunjika mwanaume atabaki kuwa ndio mshindi

    Habarini humu ndani. Mimi ninashangaa sana wanaume wanakesha kulialia kisa kuachwa, unaanzaje kulia baada ya kuachwa na mwanamke. Amini usiamini, mwanaume hana cha kupoteza kwenye mahusiano kama mwanamke, ukiachwa usisumbuke fanya yako ataenda kuzurura weeee mwisho atarudi tu. Kwanza...
  14. S

    Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na kujidunisha mahusiano kuyaboresha. Mpewa zawadi na kushukuru asiyekosoa kabla ya kushukuru, maana kwake...
  15. maji ya gundu

    Mahusiano sugu

    Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila mechi za kirafiki wanaplay kama kawaida watoto wa kisasa mnaita kupasha viporo Hizi ni baadhi ya sababu...
  16. Samcezar

    Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?

    Habarini. Kuna ile hali ya baadhi yetu, huwa katika kila mahusiano mapya unaingia unajikuta hayadumu hata ukijitahidi kuwa vizuri maeneo muhimu. Na hata ukijituma bado utajikuta ndani ya huo uhusiano amani inakuwa haipo na utulivu unakosekana. Mojawapo ya sababu ni mahusiano tuliyokuwapo awali...
  17. Z

    Hata kama mtu humpendi, hii hapana. Kutokukubali lockdown ni kuharibu mahusiano ya EAC?

    Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki yake ni Burundi tu kwa sababu nchi ya Burundi huko nako walikataa lockdown! Labda sijakuelewa...
  18. Chakorii

    Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  19. Rodriquz

    Baadhi ya wanawake hawapo serious kabisa kwenye mahusiano

    Unamtongoza bi\dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakini sasa kukupenda itakubidi ufanye kazi kubwa sana. Utasikia mimi nimeumizwa simwamini mwanaume, ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo nitakuonyesha mapenzi yangu. UNICHUNGUZEE? WE NI TAKUKURU? Kibaya zaidi mnakuwa mnapanga appoitiment anakuwa...
  20. Rodriquz

    Jambo ambalo umsamehe mpenzi wako kikawaida na asingesitahili msamaha

    Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah! sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe nakupenda sana usiniache ni bahati mbaya tu, nilimsamehe ila mpaka sasa hivi hatujawahi kukutana...
Back
Top Bottom