mahusiano

  1. T

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa uweze kuyatunza mahusiano yako

    Wakuu habarini za mchana, leo napenda kuelezea kidogo tuu jinsi kukua kwa tecnolojia kunavyo athiri mahusiano mengi baina ya mwanamke na mwanaume. Kama una mke, mume, mpenzi na kwenye simu yake anatumia app kama hitwe, badoo, thinder, nk. yako mengi hizo ni chache tuu wajuzi wa mambo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

    Habari wadau Natafuta company ya mkaka ambayo kama tukielewana italeta mahusiano ya kudumu. Mimi ni: Mwanamke umri 33-35 Mkristo Elimu ya chuo Mfanyakazi Mcha Mungu focused loving and caring mkaka awe: umri 33-38 Mkristo Awe na hofu ya Mungu Anayejishughulisha kutafuta kipato Elimu angalau...
  3. Eagle J

    JamiiForums Tanzania Je kusoma vitabu/machapisho vimesaidia katika mahusiano yako?

    Binafsi sio msomaji sana wa vitabu ila nikipata muda wa kusoma vitabu napata viwili vitatu maisha yanasonga, nimekutana na watu mbalimbali wakitoa ushuhuda kuwa kusoma vitabu kumewasaidia sana hasa kwenye sehemu ya mahusiano ya kimapenzi kwa kuboresha mawasiliano na ujanja kitandano Je kusoma...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu alikua mtu muhimu sana katika mahusiano yetu na mataifa mengine

  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake waliowazidi waume zao kwa miaka kumi au zaidi wanaridhika na kufurahia mahusiano kuliko wenye umri sawa

    Watu wengi hawapendelei mahusiano ambayo mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mwanaume. Mwanamke mwenye umri mkubwa anayetaka kutembea na vijana wadogo, kwa kiingereza huitwa Cougar, lakini wao hawana jina kwa vijana wa kiume wanaotaka wanawake wakubwa. Tanzania vijana hao huitwa vibenten Hali ya...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kuanza kupiga kura za siri ili kuwataja walimu wenye mahusiano ya kimapenzi ya wanafunzi

    MKOA wa Rukwa wanafanya mpango wa wanafunzi kupiga kura za siri ili kuwabaini walimu ‘wakware’ linatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo kwa kile alichodai kuongezeka kwa walimu wa kiume katika shule za msingi na sekondari...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Chakula: Kichocheo cha kuimarisha mahusiano mazuri ya familia

    Familia bora ni ile ambayo inayoishi kwa upendo na amani, lakini ili ubora huo utimie wanafamilia wanahitaji muda wa kukaa pamoja na kuzungumza mustakabali wa maisha yao. Familia inayotajwa hapa inajumuisha wazazi yaani baba na mama, pia watoto ambao wamejaariwa kuwa nao. Lakini kutokana na...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yawe yanashake umjue aliyeyaingilia na anakuzidi kila idara

    Ukianza kuambiwa mtu yuko busy, hakuna aliye busy kiasi cha kusahau ubavu wake. Hata awe safarini kabla ya kulala atatafuta muda wa kukujulia hali. Mwenza akikosa muda kabisa wa mawasilianao mmh kuna alikoanza. Sasa unabahatika kukutana na huyo mtu watatu katika mapenzi yenu. Umkute...
  9. Lizzy116

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Siri yakumaliza ugomvi ndani ya mahusiano.

    Tumejaribu kuwauliza wazee kwanini walifanikiwa kwenye mahusiano. Akatokea bibi mmoja akatuchana live. Akasema Mara nyingi akina Dada wanafunga benki zao za pale kati wakati akina kaka tupo tayari kila wakati kupeleka hela zetu lakini tunakosa Huduma nakwakawaida sisi tuko tofauti sana kila...
  11. janfirst

    JamiiForums Tanzania Madoa matatu yanayo chafua mioyo ya Mama zetu na kuwa acha kuwa watu wapweke zaidi na kwa kipindi kirefu zaidi ya Baba zetu.

    Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba? Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
  12. f_m

    JamiiForums Tanzania Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

    Akiwa na urafiki na mwanaume Kipindi mmekosana/mmenuniana Kipato cha mwanaume kikipungua. Uwepo/awapo amesafiri Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
  13. Alvin A.

    JamiiForums Tanzania Hitaji lako ni nini katika mahusiano?

    Good morning, guys! Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini ulikuwa nae wala kwa lengo gani? Katika kizazi cha leo ukiondoa mapenzi au NGONO, katika mahusiano...
  14. Pol mchina

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mahusiano ya kujivunia

    Kwa jina naitwa pol kjna wa miaka 24 ni muhitim wa chuo kikuu.,kitu kilichonivuta niandike katka thread hii ni uitaj wa mschana mwny mapnz thabt ,kuna msemo usemao "every successful man there is women behind" kiuklwl kwny mnpz dhat yalio na equal interests btn both side ni mazur sana, before...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Sintosahau za mahusiano

    Natumai hamjambo wanajukwaa, kila mmoja wetu kapitia matukio kadhaa katika mahusiano ambayo ni ngum kuyasahau, hivo nivizuri tukashare ajili yakujifunza. Upande wangu nilikua nakasumba ya kumfuata mpenzi wangu kwao kila tulipokua na miadi ya sex, bt siku hiyo nilipitiwa usingizi hivo...
  16. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

    Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami. Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi...
  17. Deva

    JamiiForums Tanzania Kaanzisha mahusiano mengine akiwa na mimba

    Wakuu habari ya asubuhi. Moja kwa moja niende kwenye mada, huyu mwanamke nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa, kuna wakati alishika ujauzito, tukakubaliana kulea mimba hiyo, basi tukalea mpaka ilipofika miezi mitatu ndio balaa likaanza, yeye kutaka tuachane. Kuna siku alikuja...
  18. Bennie 369

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

    Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda...
  19. Ryan Herman

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha baadhi ya mahusiano kudumu na mengine kutodumu?

    Mahusiano ya kimapenzi huwa na mazuri pale mwazoni, wengine hudai kuwa unavyoanza mahusiano mapenzi mwanzo ndivyo hukua. Je, ni kwanini baadhi ya mahusiano ya mapenzi huvunjika na mengine hudumu daima? Je, umewahi kujiuliza “Kwa nini ni uhusiano wetu una shida sana? Mambo yalikuwa mazuri sana...
  20. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Usimchukulie poa mtu ambaye humfahamu

    Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa. Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa...
Back
Top Bottom