Kuapishwa kwa Joe Biden kama Rais wa Marekani leo kumefuatiliwa na wananchi wa dunia na pengine imefurahiwa na wengi kwa vile walio wengi wanatarajia mabadiliko ya utekelezaji wa sera za Marekani kuhusu Afrika na mataifa mengineyo hususani ya nchi zinazoendelea.
Ni ukweli usiopingika Triump alijishughulisha na masuala ya ndani zaidi lakini pia uhusiano wake na nchi za ulaya haukuwa mzuri. Masuala ya mahusiano na Mashariki ya kati nayo yalizidi kuharibika hususani pale alipoutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel bila kuzingatia unyeti wake kwa wa eneo hilo.
Tunamtakia heri na fanaka.