Uko upande gani?

Bwana Fulani

JF-Expert Member
Mar 25, 2019
626
3,183
Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
 
Kwahiyo huo utafiti ni wa kikristo tu? Waislam hawahusiki? Au wao utafiti huo umewazungumziaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom