Boresha mahusiano/penzi kwa ladha tofauti za piano

Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,992
2,000
Maisha yenyewe yashakua vagara vagala vululu vululu ,huku covid kule covid version 2.0 kule chanjo huku kuchokonolewa site nyeti ilimaradi tu mambo yawe shagalabaghara.

Leo bana nimeona nishare na wakulungwa wenzangu maana haya maswala ya mapenzi hayana professional yani yanahitaji ubunifu

Hivi viumbe wa ubavu wetu wanahitaji vitu vingi vingi hata vingine hawavijui ila wanaviitaji tu ,maana wapo sensitive, nervous, censored n.k.

Leo nimekuja na hizi ala za piano hasa za taratibu tunaona zinavyofanya kazi kama soundtrack ktk movie nyingi hasa za mapenzi na kiukweli zinaleta hisia flan amaizing,

Sasa zikitumika kwa hawa viumbe directly unakua umewashika kunako ,sisemi mkaanze kununua piano,mambo saivi ni kudanload tu zinakua ktk playlist yako then linakuja tu swala la kuziwakilisha kwa hawa viumbe

Mfano kuna muziki piano uankwenda kwa jina la RIVER FLOW IN YOU by Yiruma,ni moja ya ala beat nzuri niliyoutumia ktk kuiwakilisha kwa mtoto mmoja akaniona nipo mbunifu nayajua mapenz n.k, ilikua hivii....

Nilimpigia simu night kali tulivu tukapiga mastory mingi tu pembeni nilikua na simu ingine nikaplay iyo piano beat nikaweka karibu na simu ninayoongea nae,then nikaanza kumtiririkia maneno matamu huku piano ikiendelea kumtekenya hisia zake,

Kiukweli hizi beat zinakupa appetite ya kuongea zinaleta hisia n.k, basi mtotobwa watu nikamchombeza anasikiliza tu baaria ninamjaza maneno sifa nyingi, piano nayo inamuhakikishia ivo kwa mapigo yake mazuri

Yule msichana ananambia anatamani ifike usiku nimfanyie kama jana ,nami naona ndio ni vyema ila na wenzake nao inabid niwafanyie ,sa akikuta simu inatumika kidogo atanuna .

Boresha penzi kwa staili hiyo pia unaweza record then unamtumia huku soundtrack ikiwepo,usisahau kutuma na ile sms pendwa inayoanzia na IMETHIBITISHWA .

Nitaanza utaratibu wa kurecord record nyingi tu zenye sauti yangu na maneno matamu ikisindikizwa na soundtrack piano za nyimbo tofauti tofauti.
 

Mgiriki Jr VI

JF-Expert Member
Dec 20, 2019
2,243
2,000
sitakuja kusahau.. Mpenzi wangu aliniacha kisa kaimbiwa nyimbo ya Shawn Mendez i will treat you better
 

Tumbo Chura

Senior Member
Jul 14, 2020
167
500
Mi ningekushauri kujitahidi kutumia miguu yote,ili ikitokea dharula simu na power bank yako vimeisha ukomae bila kuendekeza udomo zege.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom