Tujiandae kwa wimbi kubwa la ndoa na mahusiano kuvunjika kwasababu ya video za chumbani tunazorekodi

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Kwa sasa hivi smartphone zimekuwa kawaida sana kumilikiwa na watu wengi hususani vijana, Smartohone hizi zina kamera ambazo baadhi ya vijana huzitumia kujirekodi wakiwa katika ibada ya utamu.

Miaka inavyoenda vijana wanaoa na kuwa na familia, mda huu wanakuwa wamesahau uchafu wao ambao upo mikononi mwa wachumba zao wa zamani ambao ni kama bomu linalongoja kulipuka mda wowote.

Inaweza kutokea mpenzi wako wa zamani hamkuachana kwa amani au hakufurahishwa na kuachana na wewe na mbaya zaidi ana video mlizokuwa mkirekodi kunako 6 kwa 6.

Sasa inaweza kutokea kwetu sisi wanaume tumegombana na ma ex wa wake zetu au kupishana kauli, huyo uliegombana nae ana video za hapo zamani alipokuwa anamla mke wako, yaani full HD.

Mtu huyo anaweza kukulipa kisasi kwa kukutumia video hizo zikiambatana na vilio vya kimahaba na maneno matamu waliyokuwa wanapeana, mbaya zaidi unaona jamaa kakuzidi idara nyingi kama stamina, utundu, maumbile na mke wako anafurahia mechi anampa vitu ambavyo wewe hajawahi kukupa tangu mjuane.

Kiukweli inauma sana kuona jinsi mwanaume mwengine alivyokua anamshindua na kumpeleka moto mke wako, kisaikolojia unaweza kujiona dhaifu na mmeoana ilimradi tu iwe ndoa.

hali hii inaweza kupelekea msongo wa mawazo na hata kuvunja ndoa kabisa.

hivyo hivyo inaweza kutokea kwa mwanamke mwenye mme, mwanamke mwenzake aliekua ex wa mme wake akamtumia hizo video, inauma sana.

Mwanamke huyo mwenye mme anamuona ex wa mme wake ni mzuri kuzidi yeye, kajaliwa shape, mtundu balaa na mme wake anaonekana akiwa na hisia kali sana na kutoa ushirikiano wa hali ya juu mno kuliko anapokuwa nae.

Kwa kimombo hizi vitu zinaitwaga revenge sex tape, zinatesa sana watu kisaikolojia hakuna mfano.

kimuoma mtu mzima analia ......
 
Hivi ndoa ya gwajimer ili-survive vipi baada ya kile kideo chake kuvuja pakacha??
 
Kabla ya kuoana kila mtu alikuwa na zama zake.
So kama ulioa bikira hapo sawa ila kama ulioa ambae jamaa walibomoa kitambo basi jua kua ulioa demu wa masela.
Naomba kuwasilisha.
 
1. Kwanini mnarekodi matukio ya chumbani?

2. Kunafaida zozote kimsingi kurekodi hizo video?

3. Je hatari za kurekodi zinaeleweka vema kwa kila mmoja wenu?

Mambo mengine ni upumbavu na hasa ujinga kurekodi tukio la kujamiana, maana halina faida yoyote katika mahusiano yenu zaidi ya kujiwekea mitego hatarishi siku zote za maisha popote muendapo.
 
Natamani huu udhi mchepuko wa mume wangu auone..mana nina ma bomu yake siku nayalipua yatakuwa ni zaidi ya heroshima
 
Kuna watu wanafanyaga vitu ka hamna kesho, mimi hata kupiga picha tu kawaida kwangu huwa ni mtihani haswaa! Ije hiyo kurekodiana? Nilishasema, mke nitakayemuoa akiwa na kashfa hiyo kwangu mimi ndoa itakuwa imefikia ukingoni.
 
Kujipiga tu picha kwangu mtihani, sasa huko faragha mnayaweza vipi? Badala ya kufurahiana mnaanza kupigana picha za utupu dah!!
 
1610908982244.jpeg

Natamani huu udhi mchepuko wa mume wangu auone..mana nina ma bomu yake siku nayalipua yatakuwa ni zaidi ya heroshima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom