mahusiano

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

    Inaniumiza sana.kila demu ninayempata anakuwa na shida moja tu. Yaani hazipiti siku 2 anaomba pesa. Hii tabia imekuwa kwangu kufanyiwa ni kawaida. Nimepata msichana nikaanza sema moyo ngoja nikae hapa. Tumeonana mara moja kesho yake ananambia simu yake mbovu nimnunulie nyingine. Nlijisikia...
  2. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yoyote yaliyovunjika mwanaume atabaki kuwa ndio mshindi

    Habarini humu ndani. Mimi ninashangaa sana wanaume wanakesha kulialia kisa kuachwa, unaanzaje kulia baada ya kuachwa na mwanamke. Amini usiamini, mwanaume hana cha kupoteza kwenye mahusiano kama mwanamke, ukiachwa usisumbuke fanya yako ataenda kuzurura weeee mwisho atarudi tu. Kwanza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na kujidunisha mahusiano kuyaboresha. Mpewa zawadi na kushukuru asiyekosoa kabla ya kushukuru, maana kwake...
  4. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Mahusiano sugu

    Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila mechi za kirafiki wanaplay kama kawaida watoto wa kisasa mnaita kupasha viporo Hizi ni baadhi ya sababu...
  5. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?

    Habarini. Kuna ile hali ya baadhi yetu, huwa katika kila mahusiano mapya unaingia unajikuta hayadumu hata ukijitahidi kuwa vizuri maeneo muhimu. Na hata ukijituma bado utajikuta ndani ya huo uhusiano amani inakuwa haipo na utulivu unakosekana. Mojawapo ya sababu ni mahusiano tuliyokuwapo awali...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hata kama mtu humpendi, hii hapana. Kutokukubali lockdown ni kuharibu mahusiano ya EAC?

    Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki yake ni Burundi tu kwa sababu nchi ya Burundi huko nako walikataa lockdown! Labda sijakuelewa...
  7. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  8. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake hawapo serious kabisa kwenye mahusiano

    Unamtongoza bi\dada anakukubalia siku hiyo hiyo lakini sasa kukupenda itakubidi ufanye kazi kubwa sana. Utasikia mimi nimeumizwa simwamini mwanaume, ngoja kwanza nikuchunguze halafu ndo nitakuonyesha mapenzi yangu. UNICHUNGUZEE? WE NI TAKUKURU? Kibaya zaidi mnakuwa mnapanga appoitiment anakuwa...
  9. Rodriquz

    JamiiForums Tanzania Jambo ambalo umsamehe mpenzi wako kikawaida na asingesitahili msamaha

    Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah! sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe nakupenda sana usiniache ni bahati mbaya tu, nilimsamehe ila mpaka sasa hivi hatujawahi kukutana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  11. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahusiano ya kimapenzi na ndoa hayana formula maalum?

    Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara. Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

    Nilikutana na mtu humu tukachart kweli for al most 5 months picha nilizokuwa nimetumiwa sizo zenyewe. For more months to come finally video chart kumbe sio mwenye zile picha kazi na kila kitu alicho kisema sio so chakufanya nikumdelete tu. Mwingine kasema i am single and i was finish in every...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

    Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume. Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama hajapevuka tegemea mahusiano machungu

    Habarini washkaji zangu, leo nimeona tuwekane sawa kwa ambao bado hawahapebuka kiakili kwenye ku handle mahusiano na wake zao Sizungumzii kupevuka kimwii kama kuwa fiti kiafya, kutokuwa na ugonjwa, kuwa mrefu, n.k Mwanaume yapasa awe kapevuka kiakili lasivyo basi binyi ataonekana wa muhimu tu...
  15. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kijana ulishawahi kuwa na mahusiano na msichana aliyekuzidi umri 5+?

    Tabia ya vijana kuwa katika mahusiano na wanawake walio wazidi umri inazidi kushamiri. Zipo sababu nyingi zinazopelekea mtu kuwa katika mahusiaano kama hayo lkn moja kubwa ni iyo love. Embu naombeni mnipe experience mlizo kutana mazo mlipokuwa ktk mahusiano ya namna hiyo. Vijana embu fungukeni
  16. waterproof

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari

    Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kwa watu wenye ulemavu kuwa katika mahusiano?

    Habarii wana JamiiForums, hope mpo poa. Nadhani wote tupo nyumbani mida hii maana weekend imeanza mapema kutokana na sikukuu za nane nane kushukia hapa hebu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada Hivi kwanini inakuwa shida watu wenye ulemavu kuingia kwenye mahusiano, iwe mvulana iwe...
  18. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafurahisha toka kwa Mpenzi wako tangu mmeanza mahusiano?

    Mtu anapoanzisha mahusiano ya kimahaba na mtu wake ni wazi huwa kuna vitu vina mvutia lakini anapozidi kuwa naye karibu zaidi basi anapata wasaha wakuvifahamu vingi zaidi toka kwa soul mate wake. Karibuni tu-share vitu ambavyo vinakuvutia toka kwa mtu wako wa karibu tangu mmeanzisha mahusiano...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi na tendo la ndoa

    Wakuu inakuwaje pale unapoanzisha mahusiano ya kimapenzi na binti kisha kuwekeana au kumwekea msimamo wa kufanya tendo la ndoa baada ya kuwa mmeunganishwa kwa ndoa tu, yaani hakuna kujuana kimwili mpaka ndoa, kwanini inakuwa ngumu kwa binti kuvumilia hili na kusubiri tendo la ndoa mpaka ndoa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini mahusiano mengi ya kimapenzi sasa hivi yanadumu wiki mbili tu, au siku nne tu?

    Nimeona kwa washkaji zangu wengi walionizunguka, utakuta amepata namba ya mdada leo, lakini baada ya siku chache au baada ya wiki mbili washaachana. Wengine wakiachana hata wakikutana barabarani, salamu hawapeani. Tatizo ni nini?
Back
Top Bottom