yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,378
Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi.
Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri, gari zuri na anakula na kulala pazuri mwanamke gani asie penda pesa yuko wapi.
We jidai msingi kiuno wakati malikauli utapigiwa tu.