mahusiano

  1. D

    JamiiForums Tanzania Usidanganyike kuwa Mahusiano ni kusikilizana utaachwa, Ukweli ni lazima Mmoja amsikilize mwenzake ndo mtadumu!

    Siongezi neno wala kupunguza! Mahusiano ya kusikilizana huwa nikuongopeana! Ukweli wa mahusiano yanayodumu ni Yale mmoja lazima amsikilize mwingine! Mfumo wa mahusiano ulivyo ni wa HEAD and TAIL! (Kichwa na mkia) Treni hata kama ina vichwa viwili lakini shuruti kimoja lazima kiwe mkia ndo...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza chuo last year ambaye na yeye ni HIV+ lakini mahusiano yetu yamekua yanachangamoto sana kutokana na...
  3. yuda75

    JamiiForums Tanzania Majuto ya mambo tuliyofanya kimakosa katika mapenzi (sex) au mahusiano

    Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa kujua kuwa ni wangu peke yangu ila alinipiga chini nikalia kama mtoto mpaka leo sijawahi kupenda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  5. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tumieni mitishamba ili kuleta heshima kwenye mahusiano yenu

    Hili suala juu ya kuwepo kwa upungufu wa kiume kwenye jamii zetu lina ukweli ndani yake. Maana maisha ya siku hizi yalebadilika sana. Vyakula sio rafiki kwa afya, watu wana stress hivyo wanakunywa sana pombe, mabinti nao hawashikiki. Hivyo maneno ya mbunge Neema wa CCM viti maalumu kuwa vijana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

    Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
  8. Zurie

    JamiiForums Tanzania Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

    Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana. Je...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  10. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Habari za leo wakuu Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hili suala la Wazazi. Nadhani wengi wenu mnakumbuka enzi za shule hasa secondary na high school ilivyokuwa, ule wakati wa story za vijana utasikia tunatetea suala la kuwa na kesi mtaani, mfano; skendo za mahusiano na wasichana kadhaa...
  11. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu uliyowahi kuyafanya katika mahusiano yako?

    Unapokuwa katika mahusiano yoyote huwa kuna nyakati zinafika au unapitia unaona hapa bora nichukue uamuzi mgumu lolote liwe. Mimi niliwahi kumwambia mpenzi wangu niliwahi kumpenda tuachane baada ya toxic relationship kubadili mwelekeo wa maisha yangu ilibidi ni kuvunja mahusiano kwa mtu...
  12. The Conscious

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

    Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mahusiano ya kingono yasiyo halali katika jamii zetu

    Habari za wakati huu wana JF. Ni matumaini yangu kuna Uzima lakini pia kwa wale walio na matatizo ya kiafya naomba Mungu awatie Nguvu. Leo nina topic ndefu kidogo lakini Nitajitahid kuigusia kwa ufupi na kwa leo nitaongelea point moja tu inayotuhusu wote hasahasa kwa sisi vijana. Kumekuwa na...
  14. Meshacky Allyson

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unazingatia, wewe binafsi kabla ya kuingia kwenye mahusiano?

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada. Binafsi nipo single na huwa nikikutana na marafiki au washkaji zangu, wengi huwa nikiwauliza why umeingia...
  15. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

    Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana. Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tuepuke ajali za barabarani sambamba na ajali za mahusiano

    Ukimpa mtu ufunguo wa gari, mtu asiyejua kuendesha gari na kisha umwambie aendeshe gari unadhani nini kitatokea? Ni dhahiri kwamba itatokea ajali, tena ajali mbaya, itakayomdhuru yeye mwenyewe na walio karibu na yeye na chombo chenyewe. Mtu ambaye hajui kuendesha gari na anataka kuendesha gari...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Utafiti rasmi: Ndoa nyingi na mahusiano mengi yamevunjika baada ya Wanawake kuamini sana ndumba

    Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga...
  18. sylla

    JamiiForums Tanzania Kipi huwezi sahau kwenye mahusiano yako?

    Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa bahat nzuri nilikua sijamtamkia kuwa napenda hapo ndipo nikapata upenyo nilimjibu ndio naumwa ndo...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaoingia kwenye mahusiano

    Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomolewe na afungwe kipindi cha pili, muue simba goli 4 hapo kwa mkapa) Ukiweza hapa, ingia...
  20. Background Check

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa nakushauri nunua kamera

    Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru. Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding...
Back
Top Bottom