magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Trend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.

    Wanabodi, Mode: Kunapotokea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa kwa mustakabali wa taifa kama leo, naomba ruhusu free flow of information kuhusu jambo hilo kwa kuruhusu hata threads 100 zenye mawazo na mitazamo tofauti tofauti zipande, kisha zitakuja kuunganishwa mbele ya safari, lakini isiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo. Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel. Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  4. JamiiForums Tanzania Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    RC wa Manyara, Alexander Mnyeti amefuta kikundi cha watu wa Kilimanjaro waishio Manyara. Wiki chache zilizopita alikifuta kikundi cha watu wa mkoa wa Mara waishio Manyara. Amesema ataendelea kuvifuta vikundi/vyama vyote vya watu kutoka mikoa mingine waishio Manyara kwa sababu havina faida kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanahoji Rais Magufuli kupeleka maendeleo Chato na Geita kwa ujumla?

    Watu wanahoji kwa nini Rais Magufuli anapeleka maendeleo kwao, Chato na Geita kwa ujumla, kama vile watu wa Chato au Geita hawastahili kupata maendeleo, sasa asipeleke Chato apeleke wapi? Unapokuja kwenye rasilimali za nchi hii haziko kwenye mgawanyo sawa, kuna mahala pengine utafikiri sio...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni dira ya maendeleo barani Afrika

    YASHUHUDIE MAAJABU YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAYOJENGA VIPYA PAMOJA NA KUFUFUA VILIVYOKUFA: Uongozi wa nchi ni sawa na fumbo la imani. Hakuna awezaye kujua kesho atakuwa nani isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee ndiye mwenye ufunguo kwa kila mja wake. Unaweza ukawa na wazo, nia pamoja na malengo...
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa hafla jiwe la msingi ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli Ziwa Victoria za Mv Victoria na Mv Butiama

    WATU na taasisi wameguswa na uamuzi wa serikali kujenga daraja la aina yake la Kigongo-Busisi wilaya Misungwi kwa kumhakikishia Rais John Magufuli kuwa naye bega kwa bega wakimsihi aendelee kuchapa kazi bila kujali kelele. Aidha, daraja hilo refu kuliko yote katika Afrika Mashariki na la sita...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

    Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli amethibitisha kwamba yeye ni chuma. Pamoja na jitihada zake nyingi za kujaribu kujenga Tanzania Mpya na mafanikio ambayo tunayaona kuna maeneo ambayo kwa hakika kabisa anaenda kukiua chama cha Mapinduzi CCM na kuimarisha chama cha Upinzani hasa Chadema...
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza Kuamini Hii?!, Pamoja na Juhudi Zote za Rais Magufuli Kuleta Maendeleo Kwa Kusisitiza Ukweli Daima, Lakini Bado Anadanganywa Mchana Kweupe!.

    Wanabodi, Kuna hii video clip ni ya kipindi cha nyuma, ila mimi ndio nimeisikiliza leo, naomba na wewe isikilize halafu uniambie hayo yanayozungumzwa humu kama yanaweza kuwa ni kweli?!. Mimi nimemsikiliza huyu Meya wa Jiji la Mwanza, Mtahiki James Bwire, hivi huyu kweli haya anayoyasema kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

    MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI "Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

    Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa. Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza. Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
  12. JamiiForums Tanzania Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

    Kusema ukweli nimeona aibu kuiangali hii video, nimesoma tu heading kwenye video, maana ni aibu ilioje kuina na kusikia binadamu mwenzako akiitwa Mungu, nimeona aibu sana. Kwa wenye ujasiri wa kuangalia naomba muangali halafu mtuhadithie. Video ipo chini hapo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prince Katenga II: Ujio wa John Pombe Joseph Magufuli

    Dr. Prince Katega II: WAZUNGU WANAMWOGOPA SANA MAGUFULI December 2, 2019 Mwana diaspora Dr. Katega II anatuletea gumzo alilolisikia akiwa mtanzania mwenye makaazi ulaya ya Kaskazini juu ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya 5 katika utawala wake ndani ya miaka minne ya mwanzo toka kuanza...
  14. JamiiForums Tanzania Sasa nahamia rasmi CCM ya Magufuli

    Great Thinkers! Sasa nimehamia rasmi kambi makini ya CCM ya Magufuli baada ya kushuhudia utekelezaji usio wa kifani wa ahadi zake. Nilikuwa CHADEMA kindakindaki niliwakubali na kuwapigia debe viongozi wa CHADEMA. Nilifanya hivi baada ya kuuchukia ufisadi na mauzauza yote yaliyokuwa yanafanywa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yawavuruga Chadema waona ni heri muasisi mtendaji pekee mzee Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti

    Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti. Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno ya kwamba atamuua Rais John Magufuli. Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

    Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki. Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco. M Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake as if hiyo hela ilikuwa ikiliwa na CHADEMA kumbe ni wanajeshi wasio na chama. Kajisahau sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…