Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Heshima kwenu,

Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.

Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?

Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?

Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?

Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.

Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.

Tanzania ni yetu sote. Kama Vipi Nchi ibadilishwe Jina iitwe Magufuli tujue moja. Sababu ishakua nchi ya kusifu na matatizo ya wananchi yamesahaulika na hayasemwi na ukijaribu kusema unaitwa beberu.

Mara nyingi majina ya watu kupewa viwanja vya ndege, katika nchi nyingi ni baada ya mhusika kufariki.

Viwanja vya ndege kama Julius Nyerere, Oliver Tambo, JF Kenedy, n.k. ni baada ya wao kufariki.
 
Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kuepuka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
 
Hata kama JPM asingekuwa rais, naamini huko mbeleni wangekuja watu wenye akili na kutambua mchango MKUBWA wa Magufuli kwenye maendeleo ya Tanzania, esp miundombinu. Nenda kulia, rudi kushoto, chukia, penda, lakini huwezi kueluka kutamka jina la Magu kila unapofungua mdomo kuongelea maendeleo ya miundombinu ya Tanzania. Magu anastahili zaidi ya jina la Airport..he's an Icon (kwa mambo aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais). Naomba niishie hapa kwasasa.
Amelitiia hasara taifu kuliko faida.
1.Ameuza. NYumba zetu
2. Alikamata meli kimakosa tukalipa hela
3.Amemunua kivuko kibovu
4.alivunja mkataba brbr ya bagamoyo tukashitakiwa na ndege ikakatwa tukalipa
5.amesababisha hasara zaidi ya bil.600 kwenye korosho
6. Amepoteza Tril2.4

Huyu akimaliza muda wake ajipeleke mwenyewe jela
 
Ulitaka upewe jina la Baba yako kapuku?,
Subirini huko mbeleni kama mtapata ridhaaa ya kuongoza nchi mmbadilishe hayo majina msio yapenda
Heshima kwenu,

Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.

Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?

Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?

Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?

Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.

Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.

Tanzania ni yetu sote.
 
Rubbish
Amelitiia hasara taifu kuliko faida.
1.Ameuza. NYumba zetu
2. Alikamata meli kimakosa tukalipa hela
3.Amemunua kivuko kibovu
4.alivunja mkataba brbr ya bagamoyo tukashitakiwa na ndege ikakatwa tukalipa
5.amesababisha hasara zaidi ya bil.600 kwenye korosho
6. Amepoteza Tril2.4

Huyu akimaliza muda wake ajipeleke mwenyewe jela
 
Heshima kwenu,

Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo.

Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu watapewa majina gani?

Mnafikiri CCM na watu wake ndio wa mwisho Tanzania?

Hivi Tanzania hakuna watu waliofanya makubwa ukiacha wanaccm?

Ipo siku watakuja Watanzania wenye maono na wasiopenda sifa, watafuta hayo majina ya kujipendekeza.

Wakina Mwamunyange, Mayunga, Askofu Munga, John Okello, Maria Nyerere, Salim Ahmad Salim nk.

Tanzania ni yetu sote.

Iteni majina muyatakayo!

Atakaeingia 2020 au 2025 at worst anafuta kila kitu jiwe siku ya kwanza ya inauguration!

Watch this space!
 
Back
Top Bottom