Wale baadhi ya watu ambao bado wanaojaribu kumtingisha Rais Magufuli wakidhani atabadilisha njia anayotumia katika utendaji kazi wake wananishangaza sana!
Wanaojaribu kumtingisha inawezekana hawamfahamu vizuri au wanamfahamu vizuri lakini wamejivika upumbavu!
Kwa wale wanamfahamu vizuri, siku...
Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli.
1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY.
This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of...
Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako kwamba ni siasa.
Mh Rais tuachane na hayo je miradi yako mikubwa inayotekelezwa kwa nini haina...
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!
Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
Maneno mengi sana yanasemwa nchini kuwa mara nyingi Rais Magufuli anavunja katiba ya Jamhuri ya Tanzania kwa makusudi. Nakiri kuwa hata mimi kuna wakati nilishazungumzia hilo.
Baadae nilijiuliza ikiwa mimi ningekuwa ndio Magufuli, nikijua ninaweza kuvunja katiba kimakusudi na hakuna utaratibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni
Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua mtu yule yule kwa vipindi zaidi ya kimoja haina maana Rais ajaye analazima kurudia kumteua...
Kwa haya machache tunayoyaona, Rais wetu anavunja taratibu na kanuni waziwazi, vipi kwa tusiyoruhusiwa kuona? Tutazame haya machache:
1. Nafasi 10 alizopewa kuteua wabunge alivunja katiba tukapiga kelele mmoja akajiuzulu kisha kupewa ubalozi. Hata hivyo kujiuzulu kwa huyo mmoja hakukumoondolea...
Haka ni kakikundi ka watu ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale Tanroads na amekuwa akikatukuza sana. Imefika hatua hata wakitumbuliwa huku wanapelekwa kule. Aidha wengine nimeona wakipewa hata utukufu usio wa kawaida.
1. Mhandisi John Kijazi.
Huyu alikuwa pale ujenzi kama boss na Rais...
Rais wa Tanzania, John Magufuli.
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza Halmashauri ya mji wa Ifakara kuongezewa kata na halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kubadilishwa jina.
Ametoa maelekezo hayo leo Jumapili Novemba 3, 2019 na kumtaka Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo kusimamia...
Watu hawajajitokeza kujiandikisha uchaguzi wa nini? Hakuna uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya upinzani na ccm uchaguzi wa nini? wapinzani wanachaniwa form zao uchaguzi wa nini?
Watendaji wanakimbia ofisi kisa upinzani uchaguzi wa nini.
Yote aya uliyataka mwenyewe baada ya kuzuia siasa mpaka...
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M...
Kampeni za urais mwaka 2015, na wakati wa ufunguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 2015. Rais alihutubia Bunge kwa mujibu wa matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 91 ibara ndogo ya kwanza, inayomtaka Rais aliyechaguliwa kufungua rasmi Bunge hilo...
Rais Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kutoa Tsh. Bilioni 40 ili kumalizia madeni yote ya Wakulima wa Korosho yaliyobaki baada ya Serikali kununua korosho hao katika msimu wa mwaka 2018/19
Ametoa maagizo hayo leo alipokutana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za...
Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda
Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16
UPDATE:
Polisi wameelekea...
(PictureTanzanian President John Joseph Pombe Magufuli)
A petty dictator? May be! A benevolent overlord? Probably! An unusual kind of an African leader? Undoubtedly! A leader that Tanzanians longed for and finally got? You betcha! Since his election four years ago, President John Magufuli has...
Baada ya kuambiwa alicheka sana alafu akatikisa kichwa, akasema mpelekee na Mama Janeth aangaliye. Mama Janeth kakaa nayo anacheka.
Magufuli akasema hebu rudisha huku bwana, na ninyi wanawake mtafute wa kwenu wa kufanya sanaa kama hawa vijana wa kiume.
Britannica
Leo Oktoba 29 Mheshimiwa Rais wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amezaliwa. Mengi aliyoyafanya na anayozidi kuyafanya hakika anastahili Pongezi za kila namna.
Wengi wanatamani kumapatia Zawadi lakini hawawezi ila zaidi ni kumtakia kila a kheri na kumuombea dua njema kwa Mungu ili aendelee...
Askofu Kakobe amesema anabarikiwa sana na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu na kwamba Rais Magufuli ni mchapa kazi kweli kweli.
Kakobe amesema watu wenye hulka ya kufanya kazi kwa uzalendo uliotukuka aina ya Dr Magufuli ni wachache sana barani Afrika na sisi kama taifa hii ni neema.
Askofu Kakobe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.