magufuli

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole Mwananchi ====
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Magufuli: The Chemist, PhD holder, The Mega projects implementer, NYERERE HEP, SGR, ROADS, WATER SUPPLY, ETC

    President John Magufuli is a chemical engineer. He holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam. Undeniably, he is fond of construction and has demonstrated the knack to push projects through once he buys into it. It is not for nothing that he has been nicknamed ‘bulldozer’, a...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo ! Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa! Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa! Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
  4. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

    Kichwa kinajieleza. Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti. - Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada - Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwako Rais Magufuli

    Tangu uingie madarakani kumekuwa na hii teka teka ya watu ambayo imezua taharuki!! Wewe kama kiongozi unapaswa kuweka sawa na kutufahamisha kuwa hawa watekaji au wahuni ni kina nani na wana malengo gani hasa, kwani kukaa kwako kimya ni kuhalalisha utekaji na kuonyesha hautujali sisi wananchi...
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Amwaga Ajira Kwa Wahitimu JKT

    Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali. Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
  7. dubu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mwaka 2020 uwe wa kujenga umoja

    Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

    Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya? Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake...
  10. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Magufuli The Chemistry Engineer, The Implementer of Mega Economically viable Projects, the inborn intelligent bulldozer President

    President John Magufuli is a chemical engineer. He holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam. Undeniably, he is fond of construction and has demonstrated the knack to push projects through once he buys into it. It is not for nothing that he has been nicknamed ‘bulldozer’, a...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anayafahamu haya?

    Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa. Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic. Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
  13. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

    1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe 2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed 3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu 4. KATIBU MKUU - John John Mnyika 5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila 6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA 1. John W. Heche 2...
  15. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Wananchi Nyasa wamshukuru Rais Magufuli

    Wananchi wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma wamemshukuru sana Rais John Pombe Magufuli kwa kuwaajengea hospitali ya Kisasa baada ya kutaabika kwa miaka yote wakiwa katika mazingira magumu sana kwa kufuata huduma ya Afya katika hospitali ya Wilaya ya Mbinga. Shukran hiyo imepokelewa na Waziri wa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unadanganywa; Umeme wa REA haujawafikia wananchi wengi vijijini

    Niko natembelea ndugu zangu walioko pembezoni mwa miji kadhaa ambao vijiji au tuviite vitongoji au mitaa katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, cha kushangaza havina umeme. Viongozi wengi wamekuja na kupiga uongo eti wanaletewa umeme wa REA awamu ya tatu ni mwaka wa tano...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  19. Kelvin Kihiyo

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Kagame marais wa mfano

    UTENDAJI kazi wa marais, Dk John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda unaoweka mbele maslahi ya nchi na wananchi umemvutia Balozi wa Rwanda nchini, viongozi hao ni mfano wa kuigwa. Utendaji wa marais hao, unaojali zaidi vitendo vyenye kuonyesha matokeo chanya badala ya maneno yasiyo na tija, ndiyo...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli utaendelea kuiona kazi ya Urais kuwa ngumu, kwa kuwa huruhusu nchi iwe na taasisi imara

    Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
Back
Top Bottom