mageuzi

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. BAK

    NCCR Mageuzi yaungana na CHADEMA, ACT Wazalendo kususia mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi. Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...
  2. N

    Fikra mpya na mageuzi ya kiutendaji yanahitajika TAZARA

    Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA). Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
  3. B

    SoC01 Tubadili mfumo wa elimu ili tulete mageuzi nchini

    Elimu ni ukombozi wa umaskini, hii nukuu kutoka kwa baba wa Taifa mwalim Nyerere, kutokana na kwamba Elimu iwe lazima na bure kwa kila mmoja awe na haki ya kuipata ili ajikomboe kiuchumi na kifkra. Lakini leo hii tunapoizungumzia Elimu Tanzania imekua ni taasisi moja isiyokua na uwezo tena wa...
  4. Q

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

    Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
  5. Stephano Mgendanyi

    Historia mageuzi Sekta ya Maji yaandikwa Shilati, Rorya

    HISTORIA MAGEUZI SEKTA YA MAJI YAANDIKWA SHILATI, RORYA WAZIRI WA MAJI Jumaa Aweso amezindua mradi wa Ukarabati wa Miundombinu ya Maji Shirati Wilayani Rorya. Mradi huu ni mafanikio ya kihistoria kwa wananchi wa Shirati ikiwa ni utatuzi wa changamoto kubwa ya Maji iliowakabili kwa muda mrefu...
  6. beth

    Eswatini yakiri watu 27 kuuawa kwenye maandamano ya kudai mageuzi

    Serikali ya Eswatini imekiri kutokea vifo katika maandamano wiki iliyopita. Waziri wa Biashara, Manqoba Khumalo ameeleza hayo katika mahojiano na Kituo cha Habari cha AFP Amesema nguvu ilibidi kutumika katika kudhibiti maandamano hayo na kwamba haikuwa nia, lakini kuna nyakati ilibidi risasi...
  7. Memento

    Kwa wapenda mageuzi wote inahitajika nguvu na akili kidogo tu tuweze kushinda, tumuunge mkono Lissu

    Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi. Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya kuzuia wananchi wanachodai na tayari kishaanza kuchoka. Tusipotumia nguvu na akili kidogo kwa huyu...
Back
Top Bottom