Eswatini yakiri watu 27 kuuawa kwenye maandamano ya kudai mageuzi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali ya Eswatini imekiri kutokea vifo katika maandamano wiki iliyopita. Waziri wa Biashara, Manqoba Khumalo ameeleza hayo katika mahojiano na Kituo cha Habari cha AFP

Amesema nguvu ilibidi kutumika katika kudhibiti maandamano hayo na kwamba haikuwa nia, lakini kuna nyakati ilibidi risasi zipigwe

Amesema vurugu kubwa zilizotea kati ya Jumatatu na Alhamisi ambapo watu waliandamana kutaka mageuzi katika Siasa

=====

Twenty-seven people died last week during pro-democracy protests in the southern African kingdom of Eswatini, a minister told AFP on Wednesday.

"Unfortunately, yes, 27 people lost their lives," Commerce Minister Manqoba Khumalo said in a phone interview, expressing regret that force had to be used to break up the protests.

"It was not intended, but... the nature of the attacks that were happening was such that in some instances force had to be used, and in some instances gunfire had to be exchanged, and there were casualties," he said.

"But in some cases people were trapped in buildings when those buildings were burned... This is very unfortunate."

He said most of the violence occurred between Monday and Thursday last week.

Eswatini, previously called Swaziland, is a tiny landlocked state of 1.3 million people, sandwiched between South Africa and Mozambique.

Protestors last week ramped up demands for political reform in the country -- Africa's last absolute monarchy.

The government deployed the army to reinforce the police to break up the demonstrations.
 
Raia wakitaka mabadiliko, kiongozi tekeleza. Ukijifanya mjanja raia wanakumaliza. Raia wamekuwa wakali kweli mwaka 2021.

Mwenzake wa Haiti ameishauwawa kutokana na kunga'ang'ania madaraka!
Ili kuepuka vifo na majanga yasiyo ya lazima ni vema raia kutii mamlaka
 
Ili kuepuka vifo na majanga yasiyo ya lazima ni vema raia kutii mamlaka
Mpaka vifo vinatokea ina maana kuna ulazima. Ila viongozi wa kiafrika ni washamba sana. Hawajawai kuwa kwenye position ya kuwajibika zaidi ya kutetea ujinga wao hata kuua raia.
Hadi waangukie pua ,la sivyo hawaelewi. Huzuni sana kwa Afrika.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka vifo vinatokea ina maana kuna ulazima. Ila viongozi wa kiafrika ni washamba sana. Hawajawai kuwa kwenye position ya kuwajibika zaidi ya kutetea ujinga wao hata kuua raia.
Hadi waangukie pua ,la sivyo hawaelewi. Huzuni sana kwa Afrika.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kinyume chake pia yaweza kuwa sahihi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom