magari

  1. wa stendi

    Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

    Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?
  2. L

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  3. B

    Kwanini mbwa hugongwa sana na magari barabarani?

    Juzi nimesafiri kutoka mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Shinyanga. Kijiografia, ni umbali mrefu, ambapo magari ya abiria hutumia si chini ya masaa 16 kufika mwisho wa safari. Sasa kuna jambo moja nimeliona katika safari hii ndilo nataka wajuvi wa mambo ya wanyama watueleze, kwani ni jambo...
  4. Dalton elijah

    Shinyanga :Waandishi wamkumbusha Waziri Nape ahadi magari ya misafara

    Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea. Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
  5. Hismastersvoice

    Foleni ya magari leo Jumapili huko Mikese haihusiani na mizani

    Leo Jumapili nimekumbana na foleni huko Mikese Moro, foleni hiyo iliyofuma magari yatokayo na yaendayo Moro, Mizani ya Mikese nayo ilikuwa katikati ya foleni huku ikiwa imefungwa, na ikumbukwe inahidumia magari kuanzia tani tano na kuendelea. Magari yalichukuwa zaidi ya saa mbili yakiwa...
  6. J

    Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
  7. Chizi Maarifa

    Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda. Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
  8. JituMirabaMinne

    TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  9. Magari ya kukodisha

    Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

    Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana Dar es salaam Dodoma Mwanza Arusha Kilimanjaro Mbeya Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
  10. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

    Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya...
  11. Mjuzi Wenu

    Wafungaji wa mfumo wa gas fuel kwenye magari ya diesel na petrol

    Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya...
  12. BARD AI

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  13. FRANCIS DA DON

    Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  14. Mtemi mpambalioto

    EWURA, Utaratibu wa kujenga Vituo vya Gesi asilia kwaajili ya Magari upoje?

    Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida. Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari. Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe...
  15. v0il0r

    Mtu wa kusaidia kuuza magari, masoko, nina mechanical diploma

    Habari, -> nipo dar (kibamba) Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa...
  16. Mtenzeli

    Msaada wa ufahamu juu ya kampuni ya kuuza magari ya gloauc ya nchini Japan

    Wakuu, Amani iwe nanyi nyote! Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku. Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
  17. Roving Journalist

    Morogoro: Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kidatu - Ifaraka wafikia 78%, Daraja la Ruaha Mkuu kupitisha magari pande mbili

    Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS). Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
  18. BARD AI

    Polisi yapiga marufuku magari ya mnadani kubeba abiria

    Siku chache baada ya kutokea ajali iliyoua watu 13 mkoani Ruvuma, Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Mossi Ndozero amefanya msako ili kubaini malori yanayopakia abiria na mizigo kwa ajili ya kuwasafirisha kwenda minadani. Ndozero amepiga marufuku usafiri huo kupakia abiria huku akishusha...
  19. BLACK MOVEMENT

    Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

    Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya...
  20. Fortilo

    Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

    Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya magari yaliyotupwa👇 ====== Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
Back
Top Bottom