magari

  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

    Silii kwa ajili yangu, nalia kwa ajili ya the coming young stars , and the coming generation. Magari ya michezo ni bei kubwa sana na ushuru wake ni mkubwa, hawa chipukizi watawezaje? Sera za kikodi ziangaliwe upya, vipaji sio Football ⚽ na riadha na ngumi peke yake, vipaji ni uwanda mpana...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

    Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku. Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki. Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

    Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU. Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao. This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni Mwanasiasa gani anamiliki magari ya kupeleka wafanyakazi migodini Kanda ya Ziwa?

    Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI. Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni utoto, ujinga, ushamba na ulimbukeni kwa vijana kushindana kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani

    Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wizi wa betri za magari Songea

    Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani, JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
  8. GP Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5. Zambia 6. Malawi 7. Congo DRC 8. Tanzania Ducoments muhumu: 1. Interpol, 2. SADC 3. Police clearance...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yalalamika zuio la magari ya Warusi kuingia Uropa kutaathiri Warusi wa kawaida

    Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi kutokuruhusiwa kuingia bara Uropa, inasema wananchi wake raia wa kawaida watateseka, eti ionewe huruma kwenye...
  10. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi wa magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
  11. Girland

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania. Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Makampuni yanayotengeneza Magari ya Umeme nchini China

    Watu kwa sasa wameshafunguka macho. China imekuwa electronic hub ya dunia yetu. Nchi za kiarabu zenyewe zinakuwa ni hub ya mafuta hapa duniani. Kwa kuwa mabadiliko yanaendelea china kwa sasa ndiyo inayotuongoza kwenye mabadiliko ya kiteknolojia. Leo nitaongelea magari ya umeme (EV). Nitaongelea...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu: Magari ya Serikali yafungwe mfumo wa gesi asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia magari Chunya kwa saa 7 kusubiri mwenge

    Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii. Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
  15. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme wa magari msaada

    Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo 1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima. 2. Relay ya...
  16. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya abiria kushuka na kuacha gari kwenye foleni kuna hatarisha usalama wa abiria

    Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee. Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
  17. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

    Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk. Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

    Wasalaam JF, Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wahusika wekeni taa za kuongoza magari Ubungo Kibo, maisha ya watu yapo hatarini

    Ni takribani mwezi mmoja tangu itokee ajali ya lori la mafuta Ubungo Kibo, Dar es Salaam iliyobabisha taharuki kwa wakazi wa eneo hilo sambamba na hasara kwa wafanyabiashara. Ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2023, iliharibu pia miundombinu ya barabara kiasi cha kuvunja taa za kuongozea magari...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Plate number moja kwenye magari huchukua wastani wa muda gani kujaa?

    Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa? Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
Back
Top Bottom