Urusi yalalamika zuio la magari ya Warusi kuingia Uropa kutaathiri Warusi wa kawaida

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi kutokuruhusiwa kuingia bara Uropa, inasema wananchi wake raia wa kawaida watateseka, eti ionewe huruma kwenye hili waruhusiwe.

Yaani Urusi hunukumbusha litoto fulani mtaani enzi tukiwa wadogo, lilikua linachokoza chokoza ila ukiligeuzia kibao litapiga mayowe hadi uishie kuadhibiwa wewe...............

The Ministry of Foreign Affairs of the Russian Federation commented on the decision of individual member states of the European Union to ban entry to cars with Russian registration and claimed to be "harming ordinary Russians".
Details: The Russian Foreign Ministry considers the latest explanations of the European Commission regarding the ban on entry for Russian cars to be "beyond absurd" and harmful to "ordinary Russians".

Quote: "Now it seems quite obvious the desperate desire of the current EU elite to erect a new ‘iron curtain’ in Europe, fully limiting the communication between people," the Russian Foreign Ministry claims.

The Russians regard the actions of the European Commission as "an utter provocation of EU member states to increase discrimination against Russians on the basis of their nationality". The Russian Foreign Ministry urged citizens to weigh the risks when travelling to the European Union.

"The capitals of EU states must clearly realise that they can’t hide behind the back of Brussels until the end, hide behind the notorious EU ‘solidarity’, which so openly tramples on human rights," the ministry added.
 
Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
 
Apigwe na nyundo kabisa aachie kudhulumu kataifa kadogo hapo jirani yake, ifike mpate aibu, sijui mnamuabudu mtume wenu Putin, ana nini mpaka mjitoe ufahamu....

img_2022_04_17_09_43_35-jpg.2190468
 
Huyu ni kawaida yake kuchukulia masuala yanayo husu Urusi kijuu juu tu, hana habari kwamba Utusi ni taifa kubwa - EU na USA wakijitia kujua hili Warusi wanajua lile tena la kuwatia adabu mabeberu washenzi, hana hata habari kuhusu sanctions ambazo mabeberu wenyewe wanaziondoa dhidi ya Urusi kimya kimya baada ya vyuma kukaza.

Putin aliwahi kuwaonya mabeberu mara nyingi tu kwamba "mabeberu wasijifanye as if Urusi does not exit DUNIANI !!!!" Putin anacho kisema ni kweli kabisa, at the end of the day watakuja kumpigia magoti na kumuomba msamaha - Urusi si lelemama kama Libya na former Yugoslavia.
 
Apigwe na nyundo kabisa aachie kudhulumu kataifa kadogo hapo jirani yake, ifike mpate aibu, sijui mnamuabudu mtume wenu Putin, ana nini mpaka mjitoe ufahamu....

img_2022_04_17_09_43_35-jpg.2190468
Mara nyingi ukuhoji kwamba, je, unajua kwamba Ukkraine ni Taifa kubwa kieneo barani Ulaya save Russia, mpaka sasa hujawahi kunipatia jibu la maana zaidi ya nyimbo za shauri moyo kwa nyumba za Tumbako huko Nairobi, je unaweza kulinganishaukubwa wa Ukraine na North VietNam - how long didi it take your demi God. to be defeated by a rag tag army in North VietNam 20 years, halafu wewe unatujia na adithi zako za Abnwasi eti "Warusi wanaendeshwa puta na Waukraine wakisaidawa na NATO kwa kificho." Wame achieve nini mpaka sasa - ni wewe tu unayetujia na stori za kutoka site moja ya propaganda iliyo jaa picha na vdeo clips fake na wasemaji majenerali walaghai wa jeshi la Ukraine - tutashinda kesho,tutashinda kesho -siku zina kwenda.
 
Mara nyingi ukuhoji kwamba, je, unajua kwamba Ukkraine ni Taifa kubwa kieneo barani Ulaya save Russia, mpaka sasa hujawahi kunipatia jibu la maana zaidi ya nyombo za shauri moyo kwa nyumba za Tumbako huko Nairobi, je unaweza kulinganishaukubwa wa Ukraine na North VietNam - how long didi it take your demi God. to be defeated by a rag tag army in North VietNam 20 years, halafu wewe unatujia na adithi zako za Abnwasi eti "Warusi wanaendeshwa puta na Waukraine wakisaidawa na NATO kwa kificho." Wame achieve nini mpaka sasa - ni wewe tu unayetujia na stori za kutoka site moja ya propaganda iliyo jaa picha na vdeo clips fake na wasemaji majenerali walaghai wa jeshi la Ukraine - tutashinda kesho,tutashinda kesho -siku zina kwenda.

Sheikh umeibuka, angalia hii picha mara mbili upate aibu....

locator_mw-f90964a8c15fbb2ec7533cac3d2e0d71.png
 
Una ujuzi gani katika masuala ya cartography??? Huna hata habari kwamba wapo watu wanalipwa ku- distort mataifa fulani yaonekane

Hehehe Sheikh baada ya kupata aibu kenye ramani tuhamie huku, uzidi kupata maumivu

INTERACTIVE-Ukraine-Russia-head-to-head.png
 
Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
madhara ya ccmu hayo ebu amka ndugu , mafuta yanafika tsh 6000/= baadhi ya maeneo hapa dsm ni tsh 3200/= je nayo ni Urusi?
 
Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Huku Afrika mnaumia kwa sababu ya ujinga wenu na wa viongozi wenu.
 
Una ujuzi gani katika masuala ya cartography??? Huna hata habari kwamba wapo watu wanalipwa ku- distort mataifa fulani yaonekane

Kila nikikumbka huu msafara ulivyo nyofolewa na wabeba javelin, nacheka sana, vita vya leo vinahitaji akili sio hizi mbinu za kijinga za WII

maxresdefault.jpg
 
Ndio maaa Nakwambiaga kwamba akili zako wewe MK-254 unazijuaga wewe mwenye!!HTttivi ATGM inayo bebwa na mwana jeshi mmoja inaweza kuipua vifaru vingapi at a go? Unaweza kulinganisha uwezo wake na a four muzzled Russian Cornet ATGM au Russian no nonsense chopper gunship, mimi niliona kifaru kimoja kimoja kikilipuliwa nia hilo halikuzuhia msafara kuendelea na safari ya kwenda Belarus - msafara karibu wote uliwasiri Belarus almost intact - kama wataalamu wa masuala ya jeshi waavyo sema msafara huo ulitumiwa na jeshi la Urusi kama DECOY kuwachota akili NATO na specifically the USA wafikirie kwamba Warusi wako mbioni kuuteka mji wa Kiev wakiwa na wanajeshi wasio zidi 120,000, hivi inaingia akilini kwamba mji unao kaliwa na watu karibu million nne unaweza kutewa na kukaliwa na wanajeshi wasio zidi 120,000!! Ulaghai mtupu.
 
Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Urusi anaingaje kwenye Lita sh 3500? Acha uongo nchi yenu Haina Dola sio issue ya urusi
 
Kila nikikumbka huu msafara ulivyo nyofolewa na wabeba javelin, nacheka sana, vita vya leo vinahitaji akili sio hizi mbinu za kijinga za WII

maxresdefault.jpg
Mambo ya kitoto toto kila saa, sawa msafara ni mrefu sana sasa tuonyeshe video clips ambazo walao Javellin moja ilikuea inalipua kifaru zaidi ya kumoja na kuzuia msafara usimame - sisi tulikuwa tunaona msafara unaendelea kama kawaidi vinalipuliwa vifaru kimoja au viwili,lakini sio kwa wingi kivile mambo yote yalikuwa yanaonekana kwenye luninga bwana, damage ya zana za kivita za Urusi ulikuwa ndogo sana ndio maana zana karibu zote pamoja na wanajeshi wa Urusi waliwasili nchini Belorussian bila wasi wasi.
 
Hehehe sheikh video zipi unasubiri ulijipofusha nilivyokua najaza video humu msafara ukiliwa na wabeba javelin.
 
Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Sisi wananchi wa kuanzia Igunga, Lunzewe,kakonko, lusaunga na Rwamgasa tutaanza kupata mafuta ya magari kutokea Gamboshi
 
Back
Top Bottom