magari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Igunga Kufungwa Taa za Kuongoza Magari Barabarani

    IGUNGA KUFUNGWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI Clip/Video Majibu ya Serikali kuhusu kufungwa Taa za kuongoza Magari dhidi ya Watembea kwa Miguu na Vyombo vingine vya moto kwenye Mji wa Igunga baada ya swali la Msingi la Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa. Serikali...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Je, njia za treni zinanasa magari kwa sumaku?

    Watu wengi wamekuwa wakihoji swala Magari kunasa katika njia ya Treni, na Madereva Kuyatelekeza Magari yao na kukimbia. Sumaku ya Treni Haiwezi kusababisha gari kukwama Katika Njia ya treni, Kwasababu hakuna Nguvu ya Sumaku inayoweza Zima, Nasa gari isipokuwa SumakuUmeme(Electromagnetic) ya...
  5. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Je, halimashauri wangekodi mabasi jua lisingezama? Ni lazima kila mmoja awe na gari Arusha?

    Kuna gari 400 plus za halmashauri zote Tanzania. Kuna halmashauri unakuta ina gari 3: Mkurugenzi gari lake na watumishi wengine gari zao. Kwa ujumla, Arusha kuna gari 500 na zaidi za halmashauri Tanzania nzima. Sasa chukulia kwa mfano halmashauri za Mkoa wa Lindi wakaamua kuungana na Mtwara...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa kusikia kilio chetu cha foleni Mwenge asubuhi. Jioni pia ruhusuni magari kwa usawa pande zote

    Ndugu zangu kwema? Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote. Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge Pamoja na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Magari ya kuzoa taka yaadimika Manispaa ya Kinondoni

    Ni mwezi wa pili sasa magari ya kuzoa taka hayaonekani mitaani na badala yake wakusanya ushuru wa taka ndio wamezagaa kukusanya ushuru wakigonga milango na mageti ya wanamtaa! Hakuna taarifa yoyote kutoka kwa watendaji wa mtaa na mabwana/ mabibi afya wa kata juu ya sakata hili. Natambua uwepo...
  8. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc. Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

    Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni mimi kilaza au Tanroads: Sioni umuhimu wa taa za kuongoza magari Sam Nujoma vs Simu 2000 (Mawasiliano)

    Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
  13. Magari Aina Zote

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  14. Black fighter

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo, security na house work

    Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani. Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
  15. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

    Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo zinawapa kipato flani cha kuendesha maisha yao. Kwa uzoefu wangu hii imekuwa kati ya sababu moja kubwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbwa hugongwa sana na magari barabarani?

    Juzi nimesafiri kutoka mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Shinyanga. Kijiografia, ni umbali mrefu, ambapo magari ya abiria hutumia si chini ya masaa 16 kufika mwisho wa safari. Sasa kuna jambo moja nimeliona katika safari hii ndilo nataka wajuvi wa mambo ya wanyama watueleze, kwani ni jambo...
  18. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Shinyanga :Waandishi wamkumbusha Waziri Nape ahadi magari ya misafara

    Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea. Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Foleni ya magari leo Jumapili huko Mikese haihusiani na mizani

    Leo Jumapili nimekumbana na foleni huko Mikese Moro, foleni hiyo iliyofuma magari yatokayo na yaendayo Moro, Mizani ya Mikese nayo ilikuwa katikati ya foleni huku ikiwa imefungwa, na ikumbukwe inahidumia magari kuanzia tani tano na kuendelea. Magari yalichukuwa zaidi ya saa mbili yakiwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
Back
Top Bottom