Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,826
2,843
MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania.

Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa viongozi!

Wakati unatafakari hilo unashangaa kusikia, mfuko wa Taifa wa bima ya afya NHIF hauwezi kulipia pesa za matibabu Shilingi za kitanzania Bilioni 40?
Je magari ya viongozi ni muhimu kuliko afya za watanzania?

Viongozi wanaopewa magari wana mishahara mizuri ya kuweza kumudu bima ya afya kwa mwaka mfano, mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya Shilingi Milioni 14 ,lakini wanapewa bima ya bure, matibabu bure mafuta na magari bure ilhali mwalimu wa mwezi mzima anaambulia 500,000 ikiwa na makato !

Makada mtasema ni uchochezi na maneno mengi lakini hali hii inakera hivi mtu kama Abood anahitaji kupewa bima ya bure? Au Mwigulu au Makamba? Ummy Je hawezi kumudu bima ya afya au?

Inakuwaje basi unamlipia Shabiby bima ya bure halafu mwananchi wa kawe unamwambia achangie? Hivi viongozi wa Taifa hili mnashindwa kuweka maisha ya watanzania mbele??

Kila mwezi mnakusanya Bilioni 80 kwenye tozo za miamala kwa mwaka ni Sh 960 Bilioni pesa hii hamuwezi kuipunguza kwa NHIF ishughulikie matibabu ya watoto wa wapiga kura wenu?

Kama NHIF haiwezi kuja na strategy ya kuleta bima ya afya kwa wananchi basi muibinafshishe kwa DP WORLD

NB:Unavyokuja kucomment usihusishe vyama vyenu hapa. Sijataja chama cha mtu hapa
 
Nchi viongozi wamefilisika kifikra.ndio maana sababu zakufuja pesa kwenye mambo yakijinga ni nyingi kuliko kwenye mambo ya msingi.na wenyewe wanaona ni sawa tu kwasababu upeo wao wakufikiri umefika kikomo.Hili la bima ya watoto wajitafakari upya.
 
MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania.

Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa viongozi!

Wakati unatafakari hilo unashangaa kusikia, mfuko wa Taifa wa bima ya afya NHIF hauwezi kulipia pesa za matibabu Shilingi za kitanzania Bilioni 40?
Je magari ya viongozi ni muhimu kuliko afya za watanzania?

Viongozi wanaopewa magari wana mishahara mizuri ya kuweza kumudu bima ya afya kwa mwaka mfano, mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya Shilingi Milioni 14 ,lakini wanapewa bima ya bure, matibabu bure mafuta na magari bure ilhali mwalimu wa mwezi mzima anaambulia 500,000 ikiwa na makato !

Makada mtasema ni uchochezi na maneno mengi lakini hali hii inakera hivi mtu kama Abood anahitaji kupewa bima ya bure? Au Mwigulu au Makamba? Ummy Je hawezi kumudu bima ya afya au?

Inakuwaje basi unamlipia Shabiby bima ya bure halafu mwananchi wa kawe unamwambia achangie? Hivi viongozi wa Taifa hili mnashindwa kuweka maisha ya watanzania mbele??

Kila mwezi mnakusanya Bilioni 80 kwenye tozo za miamala kwa mwaka ni Sh 960 Bilioni pesa hii hamuwezi kuipunguza kwa NHIF ishughulikie matibabu ya watoto wa wapiga kura wenu?

Kama NHIF haiwezi kuja na strategy ya kuleta bima ya afya kwa wananchi basi muibinafshishe kwa DP WORLD

NB:Unavyokuja kucomment usihusishe vyama vyenu hapa. Sijataja chama cha mtu hapa
Ubinafsi NI nature ya MTU mweusi hasa akikuta mazungira yanamruhusu bila shida.analamba Kila kitu.
 
Ndio mfumo mkuu...
Pambana na Hali Yako..
Acha walalahoi nao wajipambanie coz hakuna ataekuja wapambania hata iwaje..

Shida ya watanzania wengi ni ujinga na kukosa maarifa..mtu maskini anakandamizwa,anakula Kwa tabu,analala Kwa tabu, maisha yake yamejaa shida ila ukimwambia tukaandamane Bora tuuane na hao polisi kudai haki zetu.. hataki!!!

Kila mtu basi apambane na Hali yake
 
Ujinga wa walalahoi unakuwa mtaji wa viongozi kuwanyanyasa .
 
MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania.

Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa viongozi!

Wakati unatafakari hilo unashangaa kusikia, mfuko wa Taifa wa bima ya afya NHIF hauwezi kulipia pesa za matibabu Shilingi za kitanzania Bilioni 40?
Je magari ya viongozi ni muhimu kuliko afya za watanzania?

Viongozi wanaopewa magari wana mishahara mizuri ya kuweza kumudu bima ya afya kwa mwaka mfano, mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya Shilingi Milioni 14 ,lakini wanapewa bima ya bure, matibabu bure mafuta na magari bure ilhali mwalimu wa mwezi mzima anaambulia 500,000 ikiwa na makato !

Makada mtasema ni uchochezi na maneno mengi lakini hali hii inakera hivi mtu kama Abood anahitaji kupewa bima ya bure? Au Mwigulu au Makamba? Ummy Je hawezi kumudu bima ya afya au?

Inakuwaje basi unamlipia Shabiby bima ya bure halafu mwananchi wa kawe unamwambia achangie? Hivi viongozi wa Taifa hili mnashindwa kuweka maisha ya watanzania mbele??

Kila mwezi mnakusanya Bilioni 80 kwenye tozo za miamala kwa mwaka ni Sh 960 Bilioni pesa hii hamuwezi kuipunguza kwa NHIF ishughulikie matibabu ya watoto wa wapiga kura wenu?

Kama NHIF haiwezi kuja na strategy ya kuleta bima ya afya kwa wananchi basi muibinafshishe kwa DP WORLD

NB:Unavyokuja kucomment usihusishe vyama vyenu hapa. Sijataja chama cha mtu hapa
Hii dunia ni ya kibepari,sasa nyie endeleeni tu kulia lia msaidiwe
 
Back
Top Bottom