Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

GP Logistics Company

JF-Expert Member
Feb 12, 2022
439
428
Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo.

Nchi tunazosafurisha Magari.

1. Kenya
2. Uganda
3. Rwanda
4. Burundi
5. Zambia
6. Malawi
7. Congo DRC
8. Tanzania


Ducoments muhumu:

1. Interpol,
2. SADC
3. Police clearance
4. Export permit

Kujua gharama za mafuta kutoka SA na gharama nyingine za njiani nitajie aina ya Gari.

Njia nazopita

1. Botswana
2. Zambia

Boda
1. Koffonten South Africa West
2. Kazungula Zambia
3. Tunduma Tanzania
4. Kasumbalesa
5. Kobero

Pia kama unataka kitu chochote vitu vidogovido dhami isizidi 500k kutoka SouthAfrica niambie nakununulia na kusafirisha pia.

Kama unataka kujua bei ya bidhaa mbalimbali kupitia kwetu inabidi uwe nakimoja wapo katiya hivi hapo chini:

1.)Utalipia Searching fees kupata bei ya bidhaa.
2.)Au Member Ship kwa mwaka.


Kwamaelezo zaidi nicheki whatspp +27 71 821 9244

Tembelea website yetu www.digxam.site

Karibu Sanaa.

20230810_231643.jpg
 
Onaonekana una uzoef na south

Sasa hebu tupe uzoef wa ndinga zinazopatikana huko uimara wake na ni aina gan watu wanzipendelea sn kwa huku bongo
Na je suala la kod nalo lipoje unapotoa ndinga huko south

Nadhan wengi tunataka agiza magari south lkn bado hatuna elimu kubwa sn ya magari mengi yanayopatikana huko pengine na je kujua kwa bei za kawaida unaweza vuta ndinga kwa kias gan

Nadhan nimekupa oa kuanzia
 
Kama umenunua Gari lako South Africa,unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo.

Nchi tunazosafurisha Magari.

1. Kenya
2.Uganda
3.Rwanda
4.Burundi
5.Zambia
6.Malawi
7.Congo DRC
8.Tanzania


Ducoments muhumu:

1.Interpol,
2.Sadc
3.Police clearance
4.Export permit

Kujua gharama za mafuta kutoka SA na gharama nyingine za njiani nitajie aina ya Gari.

Njia nazopita

1. Botswana
2.Zambia

Boda
1.Koffonten South Africa West
2.Kazungura Zambia
3.Tunduma Tanzania
4.Kasumbalesa
5.Kobero

Pia kama unataka kitu chochote kutoka SouthAfrica niambie nakununulia na kusafirisha pia.

Kwamaelezo zaidi nicheki whatspp +27 71 821 9244View attachment 2755903
Welldone mkuu, wewe ni fighter kwa maisha yako na familia yawe bora,,sio vihiyo wengine humu kutwa kulalama na viajira vya TRA
 
Back
Top Bottom