Makampuni yanayotengeneza Magari ya Umeme nchini China

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,702
59,860
Watu kwa sasa wameshafunguka macho. China imekuwa electronic hub ya dunia yetu. Nchi za kiarabu zenyewe zinakuwa ni hub ya mafuta hapa duniani. Kwa kuwa mabadiliko yanaendelea china kwa sasa ndiyo inayotuongoza kwenye mabadiliko ya kiteknolojia.
Leo nitaongelea magari ya umeme (EV). Nitaongelea makampuni yanayotengeneza magari ya umeme huko china. Nitaongelea makampuni yanayomilikiwa na wachina.
Vilevile nitaweka statistics za idadi ya magari yanayotengenezwa na kuuzwa kwa mwaka.
Bila kupoteza muda:-
BYD
1694852458272.png

Inaelezwa kuwa mwaka 2022 BYD wameuza magari takribani 1,800,000. Huku Tesla wakiuza magari 1.31m.

Here are 50 Chinese electric car companies:

1. Gigafactory Shanghai
2. NIO Inc.
3. XPeng Motors (Xiaopeng Motors)
4. Li Auto (formerly CHJ Automotive)
5. BYD (Build Your Dreams)
6. WM Motor
7. BAIC Motor (Beijing Automotive Industry Group)
8. GAC New Energy (Guangzhou Automobile Group)
9. SAIC Motor (Shanghai Automotive Industry Corporation)
10. Great Wall Motors
11. Hozon Auto (Hezhong Electric Vehicle)
12. Aiways
13. Seres (formerly SF Motors)
14. Leapmotor
15. Zhidou Electric (ZD)
16. Roewe (a brand of SAIC Motor)
17. Changan Automobile
18. JAC Motors (Anhui Jianghuai Automobile Group)
19. Bordrin Motors
20. Arcfox (a brand under BAIC Motor)
21. Singulato Motors
22. XPeng Huitian (Xiaopeng's commercial vehicle unit)
23. BYTON
24. Xindayang (New Energy Automobile Co., Ltd.)
25. FAW Group (China First Automotive Works)
26. Ora (a brand under Great Wall Motors)
27. Weltmeister (WM Motor's brand)
28. Neta Auto
29. Weimar Motors
30. Leapmotor
31. Thunder Power
32. Skywell (Skywell New Energy Automobile Group)
33. Yudo Auto (Yu'e Bao)
34. Link Tour
35. Evoke Electric Motorcycles
36. Beijing Electric Vehicle Co., Ltd.
37. Qiantu Motor (CH-Auto Technology)
38. Qingling Motors (QinLing Motors Co., Ltd.)
39. Enovate Motors
40. GreenWheel EV
41. Jiangling Motors Corporation (JMC)
42. Xiaolong Auto (Chongqing Xiaolong Automotive)
43. Denza (a joint venture between BYD and Daimler)
44. Hanteng Autos (Hanteng Electric)
45. Devinci Motors
46. Kaiyun Motors
47. Youxia Motors
48. Thunder Sky Winston Battery (manufacturer of EV batteries)
49. Xiaopeng Trucks (commercial vehicle subsidiary of XPeng)
50. Joylong Motors

Naendelea
 
Mkuu, Tesla still anaongoza kwa idadi uki compare na BYD, worldwide. Unless uniambie idadi yako ni kwa China tu.

View attachment 2750856
Hii ripoti ya mwaka gani mkuu wangu? Mimi nimeongegelea 2022

Soeurce:


 
Kwa mwaka huo 2022 EV zimeweza kuokoa kiasi gani cha mafuta?
Energy. The global EV fleet consumed about 110 TWh of electricity in 2022, which accounts for less than 0.5% of current total final electricity consumption worldwide. The use of EVs displaced around 0.7 Mb/d (1.3 EJ) of oil in 2022.

mbd meaning Million barrel per day
Source:
 
Back
Top Bottom