Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,379
Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa?
Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu 2015 na hivi karibuni tu ndio magari yameanza kusajiliwa na namba "E".
Nilikuwa sifuatilii sana hizi namba ila maelezo ya huyo mdau wangu ndio kidogo yamenishangaza.
Mwenye majibu tafadhali hasa watu wa TRA kama mko humu maana bila shaka wao ndio wahusika wakubwa.