Wasalaam JF,
Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
Ni takribani mwezi mmoja tangu itokee ajali ya lori la mafuta Ubungo Kibo, Dar es Salaam iliyobabisha taharuki kwa wakazi wa eneo hilo sambamba na hasara kwa wafanyabiashara.
Ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2023, iliharibu pia miundombinu ya barabara kiasi cha kuvunja taa za kuongozea magari...
Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa?
Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini,
wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate.
Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka...
1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)
2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui (Kisarawe rural: Ukiwa Msanga sokoni...
Wakuu,
Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi.
Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida.
Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri.
Katika vituo vya hatikati ya...
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.
Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?
Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi
---
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya
Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
Wakuu poleni na majukumu, leo niliingia mtandaoni kidogo kucheki magari ambapo nimepitia kampuni mbalimbali za uuzaji magari lakini katika kampuni zote kuna kampuni moja "Autocom Japan" naona bei zao ziko cheap sana hadi nikashangaa labda magari yao yana shida maana variation na kampuni...
Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano zaid Call or Whatssap (0719415519)...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira.
Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
What SUV would you advise me to buy between VW TIGUAN, BMW X3, AUDI Q3 and TOYOTA RAV4, please I'd appreciate reasoning for every choice starting with price, engine size, fuel type etc, or if possible provide comparison of the 4 please? "Majibu hata kww kiswahili tafadhari"
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam
kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519}
List...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.