madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kididimo

    Luhaga Mpina mheshimu Rais aliyeko madarakani usimpangie ya kutekeleza, usilazimishe Legacy,utawala siyo sawa na mirathi

    Wewe ulikuwa Waziri wa Mifugo, ukafanya yako tukakuona. Tuambie uliyemkabidhi ofisi, anafuata yako au anatekeleza yake kwa mujibu wa Katiba?. Kushinikiza na kutaka ya mtu fulani yaendelezwe ni kumuona aliyeko hana dira na ni kama umemdharau. Mzee Mwinyi na Hayati Benjamin walilelewa na Hayati...
  2. beth

    Somalia yakosoa vitisho vya nje baada ya Rais kuongezewa miaka miwili madarakani

    Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili. Washirika muhimu wa kigeni wamekemea uamuzi huo wakisema kumuongezea muda Rais Mohamed Abdullahi unatishia...
  3. beth

    Rais wa Somalia asaini Sheria kuongeza miaka miwili madarakani

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali na Waziri wa Habari, Osman A Dubbe Rais amesaini Sheria hiyo ambayo ilipitishwa na Bunge. Hata...
  4. maganjwa

    Bila CCM kutoka madarakani hatuwezi piga hatua ya maendeleo ya kuonekana

    Habari wakuu. Mimi nimetafakari sana kuhusu jinsi mambo yanavyokwenda hapa kwetu. Yaani unaweza kupata hasira hawa jamaa hatua waliyofikia ni mbaya sana. Kwanza wamejua hawapendwi na uchaguzi bila kutumia nguvu ya dola hawashindi. Pili wanawaza mambo ya kuwakomoa watu kuwalit uhuru awamu hii...
  5. Extrovert

    Ifikie mahali utawala uliopo madarakani utambue haya

    1. Lengo la kukabidhiwa dola sio kufanya maisha yetu kuwa magumu kwa makusudi. 2. Hii nchi ni yetu sote, kuwa katika nafasi mlizopo ni kwa mchango mkubwa wa raia ambao mmeamua kuwafanya wanyonge makusudi. Kweli muamue tu kuvuruga mitandao ya simu kwa kuwa mmejiskia tu kuumiza raia? Raisi wetu...
  6. S

    Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  7. Zakamwamoba

    Rais Mama Samia Suluhu asipokuwa makini 2025 CCM itaondolewa madarakani

    Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais. Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni Wapinzani. Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why? Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa...
  8. Chukwu emeka

    Tanzania hatuhitaji bandika bandua, tunahitaji kuimarisha Taasisi. Hata Mama yetu akitoka madarakani tutakuwa na stori hizi hizi tu

    Wakati nyimbo za maombolezo zikiendelea kupigwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mashada ya maua hata hayajanyauka katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tz, JPM. Kuna mengi yameanza kuibuliwa ambayo ni mapungufu katika Uongozi wake. Hasara ya Shirika la Ndege, Ubadhilifu mkubwa katika...
  9. U

    Yaweza kuwa Kikwete amerudi madarakani kwa sura nyingine?

    Habari za jioni wakuu! Naamini wengi tushaanza kukubali kuwa JPM hatuko nae tena. Ni wazi kuwa maisha lazima yaendelee hivyo nimejikuta nawaza mustakabali wa taifa letu linakoelekea. Kwanza kabisa wote tunajua kuwa JK ndo alimteua Mama Samia kuwa waziri 2010 -2015, lakini pia Ijumaa ya...
  10. THE BIG SHOW

    Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu. Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema...
  11. Mzee Mwanakijiji

    Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  12. Sam Gidori

    Wakuu wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 - 2021

    Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021. Mwaka Nchi Kiongozi Sababu 2021...
  13. A

    Ili uchumi ukue, tukubali Rais aongezewe muda hata miaka 20 Ili amalizie miradi yake yote

    Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja. Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli. Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
Back
Top Bottom